Kongamano la Mwl Nyerere Nkrumah Hall: Esther Wasira awagusa wengi!

Sikuona mantiki ya kumualika SIlaa kuja kuongea anayaongea maana anaonga juu juu
Sijui anaongea nini, eti kukubali kustaafu..................
 
Msikilize vizuri huyo Dogo anawambia vijana sio kila kitu muingie barabarani anamchana nani?

huyu dogo amepotoka......

anashindwa kujuwa kwamba waasisi wa taifa hili walidai uhuru kutoka kwa mkoloni mweupe.

sasa tunapigania uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi.

maadui tofauti, nyakati tofauti, mbinu tofauti.

mwambie ajipange, tunamsikiliza kwa makini.
 
Yaani huyu Meya wa Ilala anachowaza ni uongozi tu..nahisi kabla hajaitimisha atatangaza nia yakugombea Urais-2015 anachozungumza hakihusishi moja kwa moja na Maisha ya Nyerere!!
 
Nami nilikuwa naijiuliza: nini maana ya mabango ya picha yake pale? halafu si huyu alitajwa kugawa fweza kwa wajumbe wa chama chake kule Iringa? Na yeye mwenyewe kuukwaa Umeya wa Ilala, hakutumia fweza kweli kupata uteuzi wa chama chake?

Wewe unafikiri ktk chama cha magamba unaweza kupata uteuzi wa kugombea umeya bila milungula? Ni jadi ya CCM. No, imekuwa ibada.
 
Nami nilikuwa naijiuliza: nini maana ya mabango ya picha yake pale? halafu si huyu alitajwa kugawa fweza kwa wajumbe wa chama chake kule Iringa? Na yeye mwenyewe kuukwaa Umeya wa Ilala, hakutumia fweza kweli kupata uteuzi wa chama chake?

ANgalia hapo chini sijui anamaana gani na haya mabango
 
Sikuona mantiki ya kumualika SIlaa kuja kuongea anayaongea maana anaonga juu juu
Sijui anaongea nini, eti kukubali kustaafu..................

Huo ni wivu wa kike Jerry anaongea vitu vya msingi sana wewe hata robo ya uwezo wa huyo dogo huna...tafuta kazi una hoja unatumika wewe kama robbot.
 
huyu dogo amepotoka......

anashindwa kujuwa kwamba waasisi wa taifa hili walidai uhuru kutoka kwa mkoloni mweupe.

sasa tunapigania uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi.

maadui tofauti, nyakati tofauti, mbinu tofauti.

mwambie ajipange, tunamsikiliza kwa makini.

Halafu kumng'oa mkoloni mweusi ni ngoma nzito kweli kweli! Huu ni ukweli popote katika bara la Africa.

Anaogopa maandamano kwa sababu chama chake hakiwezi kuhamasisha maandamano hapa Dar kwa mfano bila kutumia nguvu na hela nyingi. Anaona wivu tu kuona chama chake kinaanza kutokomea nyikani!
 
ANgalia hapo chini sijui anamaana gani na haya mabango

Hayo mabango ni ule ubinafsi aliouzungumzia Esther -- anataka kujitofautisha na wengine. Anatumia hela za walipa kodi kujipigia kampeni kwa siku zijazo. Kweli fisadi haachi asili yake!
 
Katika knogamano la Jukuma la vijana katika kumuenzi Mwl Nyerere mmoja wa mchokoza mada na aliyeweza kugusa washiriki wote ni matoto wa Wassira "Esther Wassira". Mwanadada huyo kaongea vitu vya maana kwa ajili ya nchi yetu zaidi ya wanasiasa tulowazoea kama Jerry. Sijawahi ona binti kutoka mkoa wa Mara mwenye ujasiri na uwezo wa kuteka jamii kama huyu dada. Kwa hakika leo namtangaza rasmi kuwa Mbunge wa Bunda badala ya ........................
 
Huo ni wivu wa kike Jerry anaongea vitu vya msingi sana wewe hata robo ya uwezo wa huyo dogo huna...tafuta kazi una hoja unatumika wewe kama robbot.
Mkuu mbona unamshambulia gamba mwenzio hivyo??
 
Back
Top Bottom