Kongamano la Mwl Nyerere Nkrumah Hall: Esther Wasira awagusa wengi!

Amesema Chama kimeshindwa kujiendesha chenyewe mfano kujivua gamba je kitaweza kuiongoza Nchi?
 
estha anasema;
mwalimu nyerere alitupigania sasa mpini katuachia sisi tutetee mabadiliko.
it can be done just play your part. Estha wasira kamaliza. mia
 
sasa anaye ongea ni Jerry Silaa meya wa ilala.
Anasema;
miaka saba iliyo pitanlikua hapa.(anajitambulisha). nyerere amesema mambo mengi lakini mimi ntazungumzia mambo matano.
1. namna ambavyo vijana wana nafasi ya kutengeneza mabadiliko ili tanzania isonge mbele. kwa takwimu vijana ni asilimia 60 ya watanzania. nyerere alifanya halakati akiwa na umri chini ya 40. wasomi walikuwa wachache kuliko leo. leo vijana wamesoma na technology imekua. vijana washiriki katika harakati za kuongoza. mia
 
Jerry silaa anaonyesha uelewa zaidi kwa kujikita ktk mada, anazungumzia nafasi ya vijana ktk kumuenzi Mwl. Nyerere! Safi sana sio Esther anafanya siasa ktk kujadili mambo ya msingi.
 
Jaman embu weke cv ya huyo dada,japo mwishon mwa maada kashindwa kujizuia na kufunguka ki gwanda gwanda!
 
Jerry.Slaa anazungumzia Rushwa wakati yeye mwenyewe ana kashifa ya Rushwa kwenye Uchaguzi wa CCM. imekaaje hii?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom