Kongamano la Mwl Nyerere Nkrumah Hall: Esther Wasira awagusa wengi!

Esther wassira anaonyesha mwelekeo wa kisiasa katika hoja anazoelezea, mada inasema jukumu la vijana ktk kumuenzi Mwl. Nyerere ni tofauti kabisa na hisia anazoelezea! CHADEMA at work. Kwa style hii. Wasomi hawatusaidi bali ni kupotosha umma.
 
estha anasema; chama kuleta uhuru sio agenda tena sasa hivi agenda ni kujiletea maendeleo.
Vijana tumeshindwa kujitambua nafasi yetu katika kujiletea maendeleo na hii ni sababu ya uoga. na huu woga umeruhusu nafasi kwa watu wachache wenye nafasi kutudumaza.
TUSIPO ONDOA HUU WOGA WATATOKEA WAFRIKA WACHACHE NA KUJILIMBIKIZIA MALI. NA HII NDO ITATOKEA KAMA HAMTAONDOA UOGA NA MALI ZENU ZITACHUKULIWA NA VIONGOZI NA WAKIWA MATAJIRI MTABAKI MNASHANGAAni sawa na kutemea mate harakati za mwalimu nyerere. Mia
 
Esther wassira anaonyesha mwelekeo wa kisiasa katika hoja anazoelezea, mada inasema jukumu la vijana ktk kumuenzi Mwl. Nyerere ni tofauti kabisa na hisia anazoelezea! CHADEMA at work. Kwa style hii. Wasomi hawatusaidi bali ni kupotosha umma.

kwani anayoyasema ni uongo? We utakuwa fisadi
 
estha anasema; viongozi wanaenda kule kunakopelekwa mali zetu na tukiwauliza hizi safari mbona nyingi? tunajibiwa bila hizi safari hamtakula. hii hali tuikatae sisi kama vijana.
Sasa hivi hii nchi imekuwa kama mali ya watu binafsi wakati ni yetu sote. Hadi inafikia kuuza wanyama hai je watalii watakuja?. yatubidi vijana tujitoe gharama ili kuleta mabadiliko. amani ya nchi ya tanzania ni maliasili yetu na tudumishe haki na usawa ndo amani itapatikana. mia
 
"Hakuna chama chenye hatimiliki ya Tanzania kwamba kitatawala milele"~Esther Wassira 2012
 
kweli wanawake wanaweza,huyu mtoa mada namkubali .kweli amegusa nyanja zote za fikra zangu,sidhan kama kuna ambae hatamuelewa huyu dada,safi sana,vijana tusiangalie chama,kweli wazee wa ccm watolewe wanaliangamiza taifa,
 
Easter ulikuwa wapi siku zote,unaongea kwa hisia hadi mwili unasisimka,unasitahili kuwa chadema dadayangu!
 
Back
Top Bottom