kaka unataka uwe katikiro a.k.a mnyanpara,nakumbuka hizo kofia walikuwa wanavaa,wale viongozi wa kiafrika,natives enzi hizo za mkoloni ambao walikuwa wameajiriwa kama makarani,matarishi,n.k,walikuwa wanavaa pamoja na magwanda ya kaki na kaptula za kaki na soksi(patesi)bila viatu.nakumbuka baba yangu mkubwa alikuwa anamechisha hivyo viwalo,pia alikuwa anavaa helment kofia kama zile wanazovaa Ma DC na Ma PC wa KenyaKuna hii kofia anayovaa MHE.NIMROD MKONO,Mb.wa Musoma Vijijini na Mwanasheria Nguli nchini nitaipata wapi?na bei gani wadau I am serious wakuu.