Nimeumia sana hii mechi yetu na Morocco, nimeumia sana na timu yetu ya taifa

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,989
7,096
Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco.

Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu.

Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi kweli wakulalamika muda huu. Serious. Kauli za kocha ziliniumiza sana kabla ya mechi.

Je, kweli hiki ndicho tunapewa zawadi sisi au mimi mtanzania. Why?

Kweli tumepigwa hii mechi. Nimeumia sana. Hivi brazil ikienda kucheza huwa si inawaza nchini kwake wabrazil wenzao, au pale germany, au london uingereza si huwa wanajua wameenda wakilishwa. Serious Timu ya taifa ya kutuumiza kila siku😪😪😪😪.

I am very disappointed, sijui ni mm tu nimeumia hvi. Aaanh
 
Utakuwa umebeti yaaani kweli ulijiaminiaha tutafunga Moroco Ilensio Taifa star Ile to CCM Star
 
Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco.

Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu.

Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi kweli wakulalamika muda huu. Serious. Kauli za kocha ziliniumiza sana kabla ya mechi.

Je, kweli hiki ndicho tunapewa zawadi sisi au mimi mtanzania. Why?

Kweli tumepigwa hii mechi. Nimeumia sana. Hivi brazil ikienda kucheza huwa si inawaza nchini kwake wabrazil wenzao, au pale germany, au london uingereza si huwa wanajua wameenda wakilishwa. Serious Timu ya taifa ya kutuumiza kila siku😪😪😪😪.

I am very disappointed, sijui ni mm tu nimeumia hvi. Aaanh
ni mgonjwa tu wa akili ( maniac ) pekee ndiyo alikuwa akidhani na akiwa na uhakika wa 100%. kuwa taifa stars ccm samia serikali fc leo ingeshinda na kuwafunga wenye akili, mipango, uwezo na malengo morocco
 
Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco.

Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu.

Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi kweli wakulalamika muda huu. Serious. Kauli za kocha ziliniumiza sana kabla ya mechi.

Je, kweli hiki ndicho tunapewa zawadi sisi au mimi mtanzania. Why?

Kweli tumepigwa hii mechi. Nimeumia sana. Hivi brazil ikienda kucheza huwa si inawaza nchini kwake wabrazil wenzao, au pale germany, au london uingereza si huwa wanajua wameenda wakilishwa. Serious Timu ya taifa ya kutuumiza kila siku😪😪😪😪.

I am very disappointed, sijui ni mm tu nimeumia hvi. Aaanh
Jifunze kuchambua mechi, katika kandanda chochote kinawezekana. Brazil imewahi kufungwa mabao saba na Ujerumani katika kombe la dunia lililochezwa nchini Brazil. Timu ikiwa na mchezaji pungufu ni vigumu sana kushinda timu iliyokamilika na ambayo wachezaji wake wana mori wa kushinda. Wachezaji wa Tanzania walikufa moyo baada ya mchezaji mmoja kutolewa huku wakiamini kwamba ameonewa. Kwanini kocha wa Tz hakumtoa nje ya uwanja mchezaji ambaye alikuwa na kadi ya njano huku mchezajj huyo akiendelea kucheza kwa munkali bila kuwafahamu wachezaji wa kiarabu wanavyotafuta mbinu chafu za kuwahadaa waamuzi. Kocha alikuwa hafuatili mechi?
 
Back
Top Bottom