Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,422
- 27,750
ndio ndio, wewe tena.Huo ndio mchezo wangu nikiwa road napenda kusikiza 100 kilos matrafic wakipiga mkono wanajua dume, nikishuka wakiniona wanasikitika wanasema binti utakufa wewe!!!
Na cle’ boa ya koffi aisee!! Wakongoman wanajua wanajua tena!!!
Ile siku unatoka mbeya usiku, unajua sikulala vizuri kabisa nilikua nakuwazia wewe
Sema road upo vizuri sana, superwoman