Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Nani mkali wa Rhumba DRC?

  • Total voters
    46
Huu uzi umenikumbusha dem wangu flan ivi enzi izo chuo alikua anaimba ngoma ya associe ya fallyiii aisee ilikua ni balaa, wacha badae nimpandie hewani.

Binafsi namkubali sana Mwamba Ferre Gola na ngoma yake ya court circuit 🤝
 
Huu uzi umenikumbusha dem wangu flan ivi enzi izo chuo alikua anaimba ngoma ya associe ya fallyiii aisee ilikua ni balaa, wacha badae nimpandie hewani.

Binafsi namkubali sana Mwamba Ferre Gola na ngoma yake ya court circuit
Haya mkuu muendee hewani huku kwenye background kuliwa na court Circuit
 
Attachments

  • Screenshot_20231026_174830.jpg
    Screenshot_20231026_174830.jpg
    118.2 KB · Views: 9
Vyuma kutoka kwa Ferre Gola
Marathon 🔥
Mea culpa🔥
Realite 🔥
Liberty 🔥
100 kilos🔥
Vita Imana 🔥
 
Fally Ipupa - Mon Amour
 
Sema nyie watu naona kama mnawajaza vichwa hao wasanii wenu wawili japo ni namkubali ferre sana tu,ila kuna vichwa vinapiga rhumba nyie mpaka hao wasanii wenu hawaingii kabisa yaani..

Hebu tafteni magoma ya madilu system karibu yote,ila anza na frere eduard,jelousie,biya,apula,djaffar,ya jean..hapo ndo utajua kuna wazee walikuwa sumu sana kwenye rhumba.
 
Ferre ni kama alikiba ana talent huenda hata kumzidi fally lakini anafanya ile kikawaida
 
Sijui kwanini watu hua wanapenda kufananisha, kwamba mnafananisha ili kujua nani Bora zaidi?
Binafsi wote wanajua, hapa nafurahia album ya Dynasty 2 ya Ferre Gola Le Padre...
Nasisitiza wote wanajua
 
Sijui kwanini watu hua wanapenda kufananisha, kwamba mnafananisha ili kujua nani Bora zaidi?
Binafsi wote wanajua, hapa nafurahia album ya Dynasty 2 ya Ferre Gola Le Padre...
Nasisitiza wote wanajua
Haya mzee sindikiza na Marathon
 
Back
Top Bottom