Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Nani mkali wa Rhumba DRC?

  • Total voters
    46
Huo ndio mchezo wangu nikiwa road napenda kusikiza 100 kilos matrafic wakipiga mkono wanajua dume, nikishuka wakiniona wanasikitika wanasema binti utakufa wewe!!!
Na cle’ boa ya koffi aisee!! Wakongoman wanajua wanajua tena!!!
ndio ndio, wewe tena.

Ile siku unatoka mbeya usiku, unajua sikulala vizuri kabisa nilikua nakuwazia wewe

Sema road upo vizuri sana, superwoman
 
Mkuu Mayday ni Kali sana, Sasa nenda kasikilize hata pini 3 tu za Ferre Gola
Kamasutra
Jugement
Court Circuit

Halafu utaniambia

Sijaona nyimbo yeyote toka kwenye Album yake alitoa mwaka jana inaitwa Dynastie 1 ya mwaka jana sikiliza hizi nyimbo then urudi utoe tathmini yako again
 
Attachments

  • 01-ferre_Gola-Alita.mp3
    6.6 MB
  • 02-ferre_Gola-Bayuma_Bavida_Kala_feat._Innoss_B.mp3
    4 MB
  • 09-ferre_Gola-Ifuniania.mp3
    3.9 MB
  • 17-ferre_Gola-Sing_again.mp3
    3 MB
  • 05-ferre_Gola-Carte_Rose.mp3
    6.3 MB
Kwanza wanashangaa mdada anaendeshaje XT
Niliwahi kuwa na pisi Moja ya kiarabu ilikuwa Inasukuma vx enzi hizo ilikuwa ikisimamishwa na traffic inarwmbua macho na kulegeza sauti tu traffic anakwisha. Ila wanawake 🤣
 
Hivi nyie mnamfatilia ferre gola kweli??? Hivi kweli umfananishe ferre gola na fally ipupa kwa rhumba??? By the way kila mtu ana taste yake ya music ila najua hata fally ipupa anajua kwa rhumba hamfikii ferre gola. Huyu jamaa aachwe kama alivyo asee msimfananishe na mtu. Haya kasikilizeni nyimbo hizi, kinshasa, Legume, pakadjuma na poisson d'avril.
 
Hapa kwenye taste yes lakini Kuna sehemu Huwa tunakubaliana kwa pamoja kwamba hiki kitu kizuri. Mfano Kuna baadhi ya nyimbo za Ferre Gola na Fally Ipupa ambazo Kila mtu atakubali hizi Kali lakini ikija kwenye nani mkali kuliko mwingine hapo Sasa utakutana na mahaba
 
👆 nimekujibu post iyo apo juu mkuu.
 
Kweli mkuu unachosema hata fally namkubali hasa kwenye kile kibao chake cha Afly'e kaua sana but when you come nani mkali nitakuambia ferre gola em burudika na goma la " Mea culpa" kwanza mkuu.
Haya kula chuma hicho mkuu
 
Nashangaa hapo kwenye list ya ya mtoa mada ya Ferre hakuna wimbo wa Chichiwash!
Anyways. Nilianza kupenda nyimbo za ferre pale nilipokua na date na mdada wa nchi za nje. Alikua anazihusudu sana hizo nyimbo na mpaka baadhi kuzitafsiri thoo yeye ni m+254.
Kuna Hilo goma la chichiwash lilikua linapigwa huku tukiwa sebleni tumefanya cudling la maana juu ya speaker kulikua na glass ya wine.
Basi ile glass ilislide mpaka ikaanguka na kuvunjika.
Mpaka leo Hua namkumbusha sana na ananiambia that was bad notation kwanza mahusiano yet yasingedumu.
Siku hiyo ndio nakanyaga ardhi ya 254. Nilikua Nina wasiwasi sana nitalalaje kwa dame afu ugenini. Mwenyeji wangu alinotice ule woga wangu. Akawaita mabeshte zake pale ikaandaliwa party na nyimbo zilipigwa ndio zilikua bolingo tupu plus mavimiminika uoga wote uliisha tukaanza kuyarudi.
Those songs zinanipa good memories back in time.
 
Haya mkuu nikupitishe through memory lane
 
Back
Top Bottom