Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Nani mkali wa Rhumba DRC?

  • Total voters
    46
Mwanzoni nilidhani wanaopenda Rhumba ni Watu wazima sana, nilijikuta nimeanza kuzipenda when I was 10 years.

Sasa nimemwambukiza hata Wife kuzipenda, ikitokea kuna Show ya Diamomd ama AliKiba kiingilio shilingi 20,000 alafu kuna Show Ya Fere Gora ama Fally Ipupa kiingilio shilingi 100,000 atasema twende Kwa Fally ama Fere.

Rhumba music yao ni wa Viwango vya Juu sana.

Fally yuko njema sana ingawa nina collection ya nyimbo 5 za Ferre gora
Hebu endelea kumsikuliza Ferre Gola ana nyimbo nyingi sana
 
Mokili ekoti matata dit
Eric Mandala le docteur des
Ignorants et Maria Piron
Wo wo wo wo wo wo wo wo
Maria Piron, maman na Erika
Alvina et Nazeria Mandala
Sirène ya police ekumbaka na prison
Ya corbillard ekokumba nga na lilita
Épargner nga, zuwa esalaka nga neti drogué
Ba lèvres na yo elakaki matama na nga ah
En aucun jour ba larmes eko visiter yango
Présence na yo béton armé ya vie na ngai
Esengo elekaka kasi souci ya aimer ekoleka té
Marianne soki otiki ngai eh chagrin malheur
Yo oko banza moto alali nzoka aweï na yé
Maria Mandala soki otiki ngai eh
Chagrin malheur
Yo oko banza moto alali nzoka aweï na yé
Nyokalese ya Fali Pupa ,hiyo ngoma bonge moja la music , huwa siichoki kuisikiliza......................
Ferre Gola naye ni master sana ,kuna ile ngoma ya Vita Imana bonge moja la ngoma
Kiufupi wote wanajua
 
Kabisa anajua sana jamaa
 
Baada ya kusikiliza mayday hapa na sikiliza maboko pamba ya papa (chery)Gola
Rumba zilizonivutia kwao ni 100 kg Ferre Gola na associe ya Fall Ipupa. Nawapa 50 50
 
Nimwasikiliza wote na nimekuja kugundua kuwa wengi wanamfahamu Fally Ipupa kuliko Ferre Gola na sababu kubwa ni Ferre Golla anafanya Traditional Rhumba tofauti na Fally Ipupa ambaye yeye anafanya Modern Rhumba
Point
 
Kabla sijaona huu uzi, nimesikiliza Mayday ya Fally Ipupa zaidi ya mara 10. Wimbo mtamu sana
Mkuu Mayday ni Kali sana, Sasa nenda kasikilize hata pini 3 tu za Ferre Gola
Kamasutra
Jugement
Court Circuit

Halafu utaniambia
 
Nimwasikiliza wote na nimekuja kugundua kuwa wengi wanamfahamu Fally Ipupa kuliko Ferre Gola na sababu kubwa ni Ferre Golla anafanya Traditional Rhumba tofauti na Fally Ipupa ambaye yeye anafanya Modern Rhumba
Hii point kubwa sana, lakini pia Fally Ipupa ni maarufu zaidi kwa hapa kwetu kwasababu ameshakuja mara kadhaa tofauti na Ferre Gola
 
ilo goma la FerrieG la 100 kilos ni moto aise halafu ndio umekamata V8 ya waziri dar to dodoma unaeweza kanyaga mafuta for 5hrs halafu ukajishangaa mwenyewe imekuaje nipo Dom time hii
Huo ndio mchezo wangu nikiwa road napenda kusikiza 100 kilos matrafic wakipiga mkono wanajua dume, nikishuka wakiniona wanasikitika wanasema binti utakufa wewe!!!
Na cle’ boa ya koffi aisee!! Wakongoman wanajua wanajua tena!!!🙌🙌🙌
 
Inabidi unitafute nikupe pini za Rhumba unaweza kupiga hapa mpaka unaingia Dom
 
Kwa hapa Bongo,Diamond ni kama Fally Ippupa na Ferre ni kama Ali Kiba.Mmoja ni fundi,ambaye ni Ferre,wakati mwingine anajitihada ambaye ni Fally...
Ferre sidhani hatakama amewaui kuja Tz,ila Fally amewahi,hivyo Fally Ippupa wengi wanamsikiliza kwasababu wanamjua,Ferre wengi hawasikilizi na kumjua kwasababu huku Tz wengi hawamjui.All in all,wako vizuri.
 
Back
Top Bottom