Kiufupi suala la kupigwa risasi Tundu Lissu ndo chanzo cha awamu ya Tano kuchukiwa nchi nzima

..serikali imeshindwa kujitetea ilikuwaje walinzi wake wakaondolewa area D eneo aliposhambuliwa Tundu Lissu.

..pia kitendo cha serikali ya awamu ya 5 kukataa ombi la kushirikisha wachunguzi wa kimataifa, na yenyewe kushindwa kuwabaini wahusika mpaka leo, kinaleta hisia kuwa waliohusika kumshambulia Lissu wako miongoni mwao.
Kuna baadhi ya watu ambao Hayati JPM alikuwa anawaamini lakini pengine walikuwa hawamshauri vizuri sana. Haya ni makosa ya msingi yaliyofanyika na kupelekea ionekana kama Serikali ilihusika. Walinzi watakuwa hawakuondolewa; watakuwa walijishau wenyewe kutokana na yale mazoea kwamba sehemu hiyo imekuwa ni salama miaka nenda rudi na hapakuwa pamewahi kutokea tukio lolote la ajabu hapo kabla. Waliofanya tukio watakuwa waliwasoma walinzi mwenendo wao kwa siku nyingi. Kwani Hamza aliyeshambulia askari wetu kwa kutumia silaha zao, mtu akija akadai kuwa askari walimpa silaha zao Hamza, kama ni mahakamani kuwa-challenge inakuwa ni shida
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
HANA ALICHOTUACHIA ZAIDI YA UKATILI NA VISASI, NA UBAGUZI ULIOKISILI ....ACHOMWE AFE TENA HUKOHUKO......NA HUYU MAMA KAANZA KUCHUKIWA MAPEMAAAA....NA KESI YA UONGOUONGO YA KIONGOZI YA UPINZANI....NA KUTOZATOZA PESA ZA KINYONYAJI
 
Kuna baadhi ya watu ambao Hayati JPM alikuwa anawaamini lakini pengine walikuwa hawamshauri vizuri sana. Haya ni makosa ya msingi yaliyofanyika na kupelekea ionekana kama Serikali ilihusika. Walinzi watakuwa hawakuondolewa; watakuwa walijishau wenyewe kutokana na yale mazoea kwamba sehemu hiyo imekuwa ni salama miaka nenda rudi na hapakuwa pamewahi kutokea tukio lolote la ajabu hapo kabla. Waliofanya tukio watakuwa waliwasoma walinzi mwenendo wao kwa siku nyingi. Kwani Hamza aliyeshambulia askari wetu kwa kutumia silaha zao, mtu akija akadai kuwa askari walimpa silaha zao Hamza, kama ni mahakamani kuwa-challenge inakuwa ni shida

..serikali ilitakiwa kujitokeza kueleza kwamba walinzi walikuwepo, isipokuwa " walijisahau " kama unavyodai wewe.

..lakini hapo yatazuka maswali mengi zaidi, kwa mfano, " kujisahau " maana yake ni nini?

..Je, walinzi hawakufika kabisa ktk lindo lao? Au, waliondoka ktk lindo na tukio likatokea? Je, walichukuliwa hatua gani baada ya " kujisahau " na kupelekea kiongozi kushambuliwa.

..Maswali yote hayo yangejibiwa kama UCHUNGUZI ungefanyika. Lakini kitendo cha serikali kutokutoa majibu yoyote yale, na kutokuonyesha kumjali mhanga, kunaleta hisia kwamba huenda wanahusika.
 
Magufuli alikuwa anapendwa sana, Mwenyewe umeshuhudia kwenye msiba wake, na wengine mpaka leo wanamlilia. Mtizamo wako sio lazima uwe sawa na mtu mwingine, usilazimishe.
Unajuaje kama watu wote walihuzunikia Kifo chake na sio wengine walikusanyika ili kusherehekea. Aliyeumizwa sidhani kama aliguswa Kwa maumivu bali Ilikuwa faraja fulani hivi kwake
 
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Ni kweli Nabii TL alitabiri Mwanzoni kabisa mwa utawala wa Magufuli janauri 2016. Alitwambia tujiandae kupita kweny bonde la uvuli wa mauti kwani Rais tuliyenaye ana element za Dikiteta uchwara.

Alipokamtwa kw amakosa ya uchochezi akihutubia zanzibar alirudia kauli ile akiwa ameachiwa Mahakamani kisutu kuwa yeye hayuko tayaro kubow knees kwa Dikiteta Uchwara na kwamba atapambama naye.Watu walidhani masihara. Mara paap miili ikaokotwa Ufukweni Bahari ya hindi. Mara huku na kule watu wanapotea wanapigwa mapanga. Nchi nzima ikajaa damu. Hakuna aliyenyanyua mdomo.

Watanzania hawapendi vurugu wakapiga magoti wakasali.
 
Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?

Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
Waliohusika asilimia 85 wapo futi sita chini.
 
Kwa matokeo ya utafiti Gani uliofanya? Hizo kura ulizotaja hapo ndizo alizopata magu kiuhalisia na zile za ushindi alizopewa na mahera zilikuwa za Lissu!
Rejea maagizo ya magu Kwa wakurugenzi wa miji na majiji kuwa, "nimekupa kazi, nakulipa mshahara na posho, nimekupa gari na nyumba kisha nisikie umempa ushindi asiye mwanaccm, hiiiii!"
Kama kweli unaijua maana ya haki na una Mungu anayeishi ndani ya moyo wako ama ungesoma na kupita na au ungeuandika ukweli juu ya uchaguzi wa mahera!
Achana na hao Nonsense. Wanatukanwa hata akili hawana.
 
Well, sijui wacha tusubiri kwani hao mnaosema waliondoa kamera wameshafukuzwa kazi na Serikali hii Moyà hivyo mnaweza kuwashitaki shida iko wapi ?
Bado wapo. Ukweli utakuja kujulikana tu. Muda ni mwalimu. 7ya mafunzoni
 
mwezi wa 9 huu bado mnapwita minduku kwa kuhubiri lagacy isiyokuwepo

kwani kama haipo mbona mnahangaika!!!
huyo mme wenu mdogo kagoma kurudi,sijui kwanini wakati mtesi wake amekufa!!yaani kashindwa hata kuja kuungana wampe saport mwenyekiti wenu.

kunduass.
Nyie nio Nonsense ya Samia😅😅😅
 
Hivi wewe taahira huyo tundu Lisu wako ana nini cha ajabu? Kwa taarifa yako wapuuzi wachache mbebaki kumshabikia hapa jamii forum!
Tundu antipasti lissu the president of united republic of tanzania anayeishi ubelgiji yulee aliyempora ushindi anaishi kuzimu huko Kijijini chato
Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu.

Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Au ungeandija hivi " kitengo cha kumpiga lisasi tundu lisu kimesababisha awamu ya tano kutolewa madaraka "
 
Huyo Tundu Lisu wako alikuja kugombea na hakupata hata kura millioni 2.

Lofa ,zee la MIGA alidhani watanzania ni wajinga watachagua msaliti.
Kwa uchaguzi ipi mkuu, jiwe alipigwa za uso na wananchi wenye akili timamu mpaka akapora uchaguzi. Kumbuka alikiri mwenyewe kuiba kura
 
Kulisaliti taifa lako ,ni uhaini mkubwa zaidi ya hukumu ya kifo,japo serikali haikumfanyia hivyo Kama cdm baadhi wanavyoamini,jiulizeni kwa nn tundu harudi mpaka leo!?,anamuogopa Nani!??, nahs mbaya wa tundu bado yupo hai na walikuwa wakigonga cheers pamoja enzi hizo!!mwenye akili ameelewa!!
Mkuu Lissu anatumia kichwa kufikiri tofauti na wewe. Kaa kwa kutulia mungu wako kaisha kufa
 
Mimi KIBIKIMUNU Sina ushahidi wa kile alichosema mleta mada Ila ambacho naweza share nanyi hapa na ambacho najua nanyi mnakijua Ni hiki .....TUPENDANE WANADAMU KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.

KIBIKIMUNU kwa Sasa nikiwa kwedizinga hapa HANDENI.
😁😁😁😁
 
Huyo Tundu Lisu wako alikuja kugombea na hakupata hata kura millioni 2.

Lofa ,zee la MIGA alidhani watanzania ni wajinga watachagua msaliti.
Kwa kura zipi zilizopigwa? Waliosimamia uchaguzi wanajua kilichofanyika, 2020 hapakuwa na uchaguzi hata C wenyewe wanajua...
Haya power monger mwenyewe aliyejifanya Mungu mtu kwenye ardhi yetu na kutaka kutufanya wote kuwa ng'ombe wake analiwa na funza huko Chato, hata ukimtetea kiasi gani ila ukweli ni kwamba he was an evil!
 
Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?

Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
Kwa hiyo wewe unataka kutwambia hakupigwa risasi?
Au unakubali kwamba alipigwa risasi lakini bila kutumwa na MAGUFULI?

Na kama hawakutumwa na MAGUFULI, twambie ni nani alikuwa na uwezo wa kuamuru ule ulinzi mkali wa Askari polisi kwa masaa 24 kwenye makazi ya viongozi uondolewe?
Nani aling'oa/aliagiza kung'olewa kwa CCTV CAMERA kwenye eneo la tukio?
Nani aliamuru avuliwe ubunge baada ya jaribio la kumuua kufeli?
Nani alimnyima stahiki zake za matibabu?

Hata mjaribu kumkingia kifua kwa kiasi gani lakini ukweli ni kwamba MAGUFULI alikuwa na roho mbaya ya kishetani, ni wajinga tu wanaoweza kujaribu kumsafisha...
 
Back
Top Bottom