Lkn ndicho kinachoendelea kwa sasa, isitoshe kuna wengi ambao Tundu Lisu mwenyewe aliwataja kwa majina kuhusika na wengine wameshafukuzwa kazi na power that be, kwa nini Tundu Lisu hawashitaki ? Kwani Serikali haiwezi kuwatetea kwa kuwa Serikali ni anti Magu, hata mambo ya kuleta sijui wachunguzi wa kimataifa sasa hivi ndiyo wakati muafaka kwa nini hawafanyi kama wana un-do kila alichofanya Magufuli hata kumdhalilisha mbele ya foreigners, iweje washindwe kumhukumu kwa kuhusika kwake na tukio ? Shida iko wapi ?
Alipokuwa hai tuliambiwa Serikali inazuia uchunguzi sasa Maadui wa Magu ni Serikali kwa nini kimya ?
..serikali ndiyo yenye mamlaka ya kuleta wachunguzi toka nje.
..sasa inabidi tuihoji awamu ya 6 kwanini haileti wachunguzi hao, au kwanini haichunguzi kabisa?
..ukiniuliza mimi nitakwambia ni kwasababu awamu ya 6 haitaki kuingia ktk ugomvi mkubwa na watu wa awamu ya 5.
..kuna makaburi na madudu ya awamu ya 4 ambayo Magufuli hakutaka kuyafumua.
..Pia kuna makaburi na madudu ya awamu ya Magufuli ambayo Samia anakwepa kuyafukua.
..Suala la shambulizi dhidi ya Tundu Lissu ni moja ya mambo ambayo awamu ya 6 itakwepa kushughulika nalo ili kuisitiri awamu ya 5.