Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,906
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.

Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.

Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF

Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.

NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.

Hapo tutakuwa tumemaliza tatizo
 
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha...
Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha...
Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha..
TBA nao wanajenga nyumba ....

Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?...

Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC...serikali ilipe deni Kwa nssf.....

Watumishi housing nayo waipe NHC...serikali ilipe deni...
NHC..iwe public listed company dse.... serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.....
Hapo tutakuwa tumemaliza tatizo
Labda TBA na NHC ziunganishwe. Ila NSSF ni Mfuko wa bima Kwa watumishi. Hivyo, habari ya kujenga nyumba siyo jukumu lao la msingi Bali kama vitega uchumi Kwa ajili ya kukuza mitaji ya wateja wake ingawa wateja hawapati CHOCHOTE kutokana a uwekezaji huo.
 
VIwili vi

Nafikiri ni mashirika tofauti wanafanya biashara zinazo fanana!
 
Labda TBA na NHC ziunganishwe. Ila NSSF ni Mfuko wa bima Kwa watumishi. Hivyo, habari ya kujenga nyumba siyo jukumu lao la msingi Bali kama vitega uchumi Kwa ajili ya kukuza mitaji ya wateja wake ingawa wateja hawapati CHOCHOTE kutokana a uwekezaji huo.
Ndio maana nssf inatakiwa iachane na habari za kujenga nyumba na kupandisha, wawe wanawekeza kwenye bond za serikali.
 
Umefikiri kama kilaza aisee.

NSSF ni mfuko wa hifadhi za kijamii.

Ujenzi ni kama miradi tu ya kiuwekezaji.

Nhc ni shirika la nyumba la taifa kujenga na kuuza nyumba ndio wajibu wake.

TBA ni kama kampuni nyingine binafsi za ujenzi ila hii ni ya serikali.

Huwezi sema mashirika haya yaunganishwe ,

Haiwezi tokea kamwe.

Majukumu yao ya kimsingi hayafanani.
 
Umefikiri kama kilaza aisee.

NSSF ni mfuko wa hifadhi za kijamii.

Ujenzi ni kama miradi tu ya kiuwekezaji.

Nhc ni shirika la nyumba la taifa kujenga na kuuza nyumba ndio wajibu wake.

TBA ni kama kampuni nyingine binafsi za ujenzi ila hii ni ya serikali.

Huwezi sema mashirika haya yaunganishwe ,

Haiwezi tokea kamwe.
Wapi nimesema yaunganishwe?ukilaza ni pamoja na kutosoma vizuri na kuelewa
 
Labda TBA na NHC ziunganishwe. Ila NSSF ni Mfuko wa bima Kwa watumishi. Hivyo, habari ya kujenga nyumba siyo jukumu lao la msingi Bali kama vitega uchumi Kwa ajili ya kukuza mitaji ya wateja wake ingawa wateja hawapati CHOCHOTE kutokana a uwekezaji huo.
Issue sio taasisi ila kama biashara ni mortgage au Real Estate basi ifanye kampuni moja tu mfano NHC then wanaweza unda subsidiary company wakagawana hisa kati ya NHC na NSSF so hapo unaua TBA, Watumishi Housing sijui WCF.
 
Wapi nimesema yaunganishwe?ukilaza ni pamoja na kutosoma vizuri na kuelewa
Yani umeshauri upuuzi mtupu.
TBA ni professional agency wa mambo ya ujenzi
NHC ni wasimamizi wa nyumba za biashara za serikali
NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii kwa sector binafsi. How possible waunganishwe?
 
Yaani hakina poyoyo kama wewe ambae clueless kuhusu maswala ya biashara ni tajiri.

Piga uwa siwezi kuwa maskini nchi kama hiyo

The nonsense you talk about is beyond me.

Katika deni la serikali guarantee debt ni zaidi ya trillion mbili ambalo wanalipa mkopo wa China (hizo ndio sababu za Magufuli za kumtimua Nehemia).

NHC walikopa kwa government guarantee kwa miradi ya biashara walipe wenyewe.

Matokeo yake projects zao zilivuka grace aijsisha na serikali (walipa kodi) ikabidi ianze kugharamia hayo madeni. Ndio Magufuli alipoona upuuzi na kumtimua huyo kilaza Nehemia.

NSSF ilikuwa na miradi ya nyumba (at inflated costs), wakati huo huo asllimia kubwa ya mapato yao wanapeleka kununua government treasury bonds through banks, madeni ambayo serikali ya Jakaya Kikwete ilikuwa hailipi mpaka shirika likawa na ukwasi na kuanza kusua sua kulipa commitment zao za pension.

Matokeo yake Magufuli akaanza kulipa madeni ya NHC, kulipa madeni ya treasury ya NSSF na kwa sababu NSSF ilikuwa na ukwasi ikabidi serikali iwajibike ku-cover short cash flow short falls.

Hao wengine wote walikuwa na shida zao ambao serikali ya Magufuli ilikuwa inapambana kuyaweka sawa kwa uozo aliouokota kutoka haramu ya tano.

Huyu The Boss aliwahi shauri serikali iongee Disney wajenge theme park shinyanga (tells you, how pathetic he is).

Sasa kama huyu bwana tajiri na wewe maskini lazima ujiulize unakosea wapi.

Ndio kama huu ushauri wake yaani serikali ibebe madeni ya kipuuzi kwa hela za walipa kodi.

I don’t how you give likes on posts to this idiots; yaani mtu anaabdika ujinga tu kutoka kichwani kake.

Like seriously kama mtu mwenye akili ndogo kama hizi ni tajiri; halafu wewe una struggle.

Maana jamaa ni kilaza hatari
Huyu jamaa sikuwahi jua ni kilaza namna hii.
 
Yani umeshauri upuuzi mtupu.
TBA ni professional agency wa mambo ya ujenzi
NHC ni wasimamizi wa nyumba za biashara za serikali
NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii kwa sector binafsi. How possible waunganishwe?
Mazee hebu soma tena
Wapi nimesema waunganishwe?
Kusema miradi ya nyumba za nssf wapewe NHC ndo kusema waunganishwe?Neno kuunganishwa umelitoa wapi??
 
Yaani hakuna poyoyo kama wewe ambae clueless kuhusu maswala ya biashara halafu eti ni tajiri.

Piga uwa siwezi kuwa maskini nchi kama hiyo, kama wewe ni tajiri..

The nonsense you talk about is beyond me.

Katika deni la serikali guarantee debt la NHC ni zaidi ya trillion mbili ambalo wanalipa mkopo wa China (hizo ndio sababu za Magufuli za kumtimua Nehemia).

NHC walikopa kwa government guarantee kwa miradi ya biashara ambayo walitakiwa walipe wenyewe based on their plans (which it failed).

Matokeo yake projects zao zilivuka grace period wakati nyingi azijaisha na serikali (walipa kodi) ikabidi ianze kugharamia hayo madeni. Ndio Magufuli alipoona upuuzi wa NHC unatosha na kumtimua huyo kilaza Nehemia.

NSSF ilikuwa na miradi ya nyumba (at inflated costs), wakati huo huo asllimia kubwa ya mapato yao wanapeleka kununua government treasury bonds through banks, madeni ambayo serikali ya Jakaya Kikwete ilikuwa hailipi mpaka shirika likawa na ukwasi na kuanza kusua sua kulipa commitment zao za pension.

Matokeo yake Magufuli akaanza kulipa madeni ya NHC, kulipa madeni ya treasury ya NSSF na kwa sababu NSSF ilikuwa na ukwasi ikabidi serikali iwajibike ku-cover shortage cash flow kulipa watumishi wanaodai.

Hao wengine wote walikuwa na shida zao ambazo serikali ya Magufuli ilikuwa inapambana kuyaweka sawa kwa uozo aliouokota kutoka haramu ya tano.

Huyu The Boss aliwahi shauri serikali iongee na Disney wajenge theme park shinyanga (tells you, how pathetic he is).

Sasa kama huyu bwana tajiri na wewe maskini lazima ujiulize unakosea wapi.

Ndio kama huu ushauri wake yaani serikali ibebe madeni ya kipuuzi kwa hela za walipa kodi.

I don’t know how you people give likes on posts this idiotic stance; yaani mtu anaandika ujinga tu kutoka kichwani kwake.

Like seriously kama mtu mwenye akili ndogo kama hizi ni tajiri; halafu wewe una struggle jitafakari unakosea wapi.

Maana jamaa ni kilaza hatari
Juzi mwezi uliopita NSSF iliuza mradi wake wa nyumba kwa mwekezaji kwa tsh, bilioni 500, mradi ambao uligharimu tsh bilioni 300, Kwa maans hiyo faida ni tkribni bilioni 200! Hii miradi ya nyumba inaingiza faida!
 
Watanzania wengi hawawezi ku think critically like you do. Nchi Ina shida ya elimu sijui tulikosea wapi yarabi!
 
Humu kwenye Jukwaa la siasa atupendi hadithi za abunuwasi.

Mradi gani huo wa NSSF wa billion 500, kama unaongelea kigamboni ni tsh 1.3 trillion, bado ujazungumzia the cost of tying money in a delayed project returns.

Tafuta watu wakuongopea sio kwenye hili jukwaa.
 
Yani umeshauri upuuzi mtupu.
TBA ni professional agency wa mambo ya ujenzi
NHC ni wasimamizi wa nyumba za biashara za serikali
NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii kwa sector binafsi. How possible waunganishwe?
Kwasababu wote wanajenga..!?🤗🤗🤗😇😇

Sijui lakini. Mtajijua
 
Watanzania wengi hawawezi ku think critically like you do. Nchi Ina shida ya elimu sijui tulikosea wapi yarabi!
Mimi na wengine ndani ya Tanzania are just normal people.

Isipokuwa kwenye hili jukwaa la siasa kumejaa walaghai na upotoshaji.

Personal naamini wengi ni waelevu hila wamejikita kwenye upotoshaji tu kwa maslahi yao.

Most are not sincere people.
 
Back
Top Bottom