Kiti Kinauzwa!

sio vizuri.....kwa nini kazi za watu zisiheshimiwe? tupo masecretary ndio na huwa tunajiheshimu na tuna heshima zetu.......hakuna mtu anaweza kufanya kitu kama hicho ofisini.....we senator ututake radhi....:fencing:

Preta mpenzi nani kakuudhi hivyo,nimeshakunja shati hapa kitaeleweka tu!
 
Jamani taratibu wengine sie ni masekretary wa miaka mingi hayo hatujawahi kuyaona. Nawasubiri mje ofisini kwangu then niwaulize
 
KIAPATIKANA WAPI MIMI NAKIHITAJI:smile-big:

Kipo sokoni kwa ss..ukipita pale maeneo ya Keko jirani na JKT duka lao la thamani utakikuta ndan...ulizia viti vinavyowafaa secretary utaoneshwa
 
Back
Top Bottom