Kiti Kinauzwa!

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
66
30207_119575254732305_100000394947153_178398_2802728_n.jpg

Nimekiona sehemu kinauzwa ila nje ya nchi nadhan vikifika bongo vitakuwa na soko kubwa sana kwa makatibu muhutasi.
Nipo natafuta specifications zake niziweke hapa kwa matumizi zaidi
 
Niko busy, njoo baadae bwana! akiinuka anaweka kikoi kwenye kiti au mkoba! Haya kazi kweli kweli! Akirudi nyumbani amechoka balaa! :becky::becky::becky:
 
Niko busy, njoo baadae bwana! akiinuka anaweka kikoi kwenye kiti au mkoba! Haya kazi kweli kweli! Akirudi nyumbani amechoka balaa! :becky::becky::becky:

Jameni acheni mzaha, yaani nyumbani bwanake 'amnaniliu', kazini Bosi wake 'amnaniliu', halafu bado tena duduz kwenye KITI iendelee 'kumnaniliu'...si atazimia huyo?.. huhuhhh...
Masekretari mpo hapa ndani?
 
wapo masecretary humu wanajizungusha tu kwenye viti kumbe wanaburudani zao...si umeona hiyo hiyo pedal pembeni kazi yake ni kubwa sana kwnye hicho kiti.Unaadjust accordingly.....
 
Napenda ile yenye madhiwa:A S 8:
Yenye madhiwaaa itakuchafua ukiwa kazini hii inakuacha na juice yako tu..yenye madhiwa inafaaa kwa matumizi ya nyumbani tu.Hki ni kwa matumizi ya ofisi tu
 
lol kumbe ndo maana huwa wanavaa vimino to easy da thing!duh!!!!!
 
lol kumbe ndo maana huwa wanavaa vimino to easy da thing!duh!!!!!
Kinimo afu ndani hakuna ile nanii ya kusitirii so inakuwa much easy!!unaweza kuwa unaongea na secretary anakurembulia macho kumbe yupo high kwenye flava zake!!
 
sio vizuri.....kwa nini kazi za watu zisiheshimiwe? tupo masecretary ndio na huwa tunajiheshimu na tuna heshima zetu.......hakuna mtu anaweza kufanya kitu kama hicho ofisini.....we senator ututake radhi....:fencing:
 
Samahani preta kama nimewakwaza hvi hakuna masecretary wakiume maofisini??
 

Si afadhali ya ww mkeo ni sekretari. Wengine mama zetu ndo ajira zao hizo, halafu nyie mnaleta utani kazini!
Lakini huku si ndio sehemu yake ya utani no matter kwenye michezo..kazini au kwenye pombe shop...samahani kwa wadau waliokwazika na offer hii ya kiti..Nasitisha biashara
 
Back
Top Bottom