Kiti cha Kikwete na miujiza yake

Kıle kıtı kımezındıkwa baraa, hamkumbukı kıpndı cha kampenı za mwanza na Jangwanı alıpokuwa akıjınadı?
Mwanza ısıngekua majını yake angeuawa, vıvyohıvyo Jangwanı alızıdıwa nguvu akaanguka.
So hıı ya kukalıa kıtı kımoja nı halı ya kujıhamı zaıdı kı Shekh Yahaya!
 
Huo ni utamaduni tu wa kila mwanadamu mbona wengine wanakuja na chupa za chai, chakula toka mjumbani mwao kuja navyo kwenye maofisi ya umma. Acheni hizo
 
Nimeota Kikwete kaokoka na amekivunja kiti chake, kikaaza kutiririsha damu. Ndoto ilikuwa ya kutisha sana

you mean utawala wake utasababisha kumwagika damu? au mgawanyiko wa serikali yake uta -una - sababisha vifo, mauaji? Be afraid!
 
Ni kweli mi mwenyewe nilishuhudia alipoenda kwenye ufunguzi wa upanuzi wa kiwanda cha saruji, Wazo. alipokuwa akiondoka mbebaji alikimbia nacho kidogo adondoke maana gari inayokibeba inakuwa mbele kwenye msafara. Uchawi mtupu.
 
wabongo bwana, tunapenda sana uchawi
 
Back
Top Bottom