Kiti cha Kikwete na miujiza yake

Ninayo mashaka tele kutoka kwenye maelezo yako kwamba ni kitu cha kawaida kutembea na kiti kama obama atembeavyo na gari yake popote pale.

Watu wake Rais hupaswa kubeba ile STATE SEAL, nembo ya Ikulu SIYO KUZUNGUKA NA KITI KAMA MJOMBA afanyavyo (kama kweli anazunguka na kiti hicho)

jamiiforums imejaa watu ambao hawachambui hoja bali ni kukurupuka tu,kumbuka yule ni Rais wa nchi na si mwenyekiti wa serikali za mitaaa,hivyo anao utaratibu wake duniani kote hakuna rais anayekalia kalia viti hovyo,kumbuka kwa kiongozi yeote ata awe mzuri vipi,namaanisha kiutendaji lakini hawezi kukosa wabaya wake,,,,ebu kueni ma akili na mjadili mambo ya maendeleo
 
mkapa alianza utaratibu wa kutumia kiti kimoja baada ya kurejea ulaya alipofanyiwa operation ya mguu. kiti hicho kilitengenezwa mahsusi kutokana na maelekezo ya madaktari kutokana na tatizo lake. nadhani baada ya muda aliacha mtindo wa kutembea na kiti hicho
Vipi sasa kuhusu baba Ritz? Naye ni maelekezo ya Dr?
 
Last edited by a moderator:
jamiiforums imejaa watu ambao hawachambui hoja bali ni kukurupuka tu,kumbuka yule ni Rais wa nchi na si mwenyekiti wa serikali za mitaaa,hivyo anao utaratibu wake duniani kote hakuna rais anayekalia kalia viti hovyo,kumbuka kwa kiongozi yeote ata awe mzuri vipi,namaanisha kiutendaji lakini hawezi kukosa wabaya wake,,,,ebu kueni ma akili na mjadili mambo ya maendeleo

Utamsalmia mangimeza mkuu!
 
mkapa alianza utaratibu wa kutumia kiti kimoja baada ya kurejea ulaya alipofanyiwa operation ya mguu. kiti hicho kilitengenezwa mahsusi kutokana na maelekezo ya madaktari kutokana na tatizo lake. nadhani baada ya muda aliacha mtindo wa kutembea na kiti hicho

Sikumbuki kuwa amekiacha.
 
Back
Top Bottom