Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
Hii picha mbona source yake ni ya kuaminika, na wewe unasema aangalie kikulacho? hapa kumshika mwizi mbona ni rahisi mno, ni kuangalia tu hii pichwa imepigwa kutokea angle ipi, kwisha kazi. ama sivyo mimi nahisi huenda Jekei mwenyewe ndiye aliyependekeza kupigwa hii . ana udhaifu wa kuuza sura pia.
tushaambiwa hapa fuselage yote imejaa mi-cam sasa angle itasaidia nini?