Kitendawili cha kwa nini Mkuu hakai nyumbani chateguliwa(picha)

Hii picha mbona source yake ni ya kuaminika, na wewe unasema aangalie kikulacho? hapa kumshika mwizi mbona ni rahisi mno, ni kuangalia tu hii pichwa imepigwa kutokea angle ipi, kwisha kazi. ama sivyo mimi nahisi huenda Jekei mwenyewe ndiye aliyependekeza kupigwa hii . ana udhaifu wa kuuza sura pia.

tushaambiwa hapa fuselage yote imejaa mi-cam sasa angle itasaidia nini?
 
Kaka JK hapa unapaswa kuwa macho, picha hii imetisha hasa huyu aliyekupiga anaonekana yu nguoni mwako. Iko siku tutaletewa picha yako ya bafuni Mkuu. Nahisi hii imezidi, TISS- Presidential Guard mtakuwa mnahusika. Lasivyo jiteteeeni mapemaaaaaaaaa.

Kaka/dada hiyo imepigwa kwa satellite tokea nje ya ndege, chezea technology weye!!!
 
Mkao na pozi la picha hii linaonyesha dhahiri JK alimwomba moja wa wasaidizi wake ampige picha hii. Kwa hiyo hakuna hatari ya maisha yake hapo
 
kuna kipindi laptop ya JMK aka dhaifu zikaletwa habari hapa kuwa imejaa movi, bongo fleva na picha za mastaa.


Kama zimepatikana kihalali hizo nyimbo na movie hakuna shaka (atakuwa anakuza uchumi wa nchi). Ila kama ni za ku-burn mtaani hapo anahitaji kuhukumiwa kwa piracy. By the way mkuu naye anahitaji kuliwazwa na muziki na movie baada ya kazi
 
jk.jpg
[/QUOTE]kidogo naanza kuelewa sababu ya shehe yahya (R.I.P.) kutaka kumpatia Raisi walinzi wasionenekana kwa macho ya kawaida a .k.a majini.hawa nanaomlinda wakati huu nahisi wameshachoka kushuhudia udhaifu wa mtu wanaemlinda kiasi cha kufikia hatua ya kumfanyia dhihaka kubwa kama hii.Kwa hili wale vijana wenye mbwembwe za ukakamavu boflo wanaomlinda wanahusika nalo.:hatari::hatari:
 
Mwacheni baba nanihii amalize muda wake wa maigizo sisi tuchague viongozi wa kweli.
 
Jamani hii sio picha rasmi ambayo Rais wetu angependelea kupigwa, halafu inaonekana kabisa haikupigwa na kamera rasmi bali ni iPhone, blackberry or something of the like. Kweli taasisi yetu ya Urais ni dhaifu
 
Mbona mi sijaelewa hii picha kinacho fanya ishangaze,mbona naona katulia tu kwenye ndege tena siti ya katikati,naomba msaada wa kuielewa kama wachangiaji wengine,


Siti ya katikati kivip kaka? Kitu business class hiyo.. Siti za kawaida ni kama za bus mna banana banana,, hapo mtu mzima yupo siti za mbele (business class) ameshaagiza mvinyo ndo anasubiri uletwe huku anachek dunia kwa juu bila zengwe... Yaan mtu mzima akae siti za kawaida masaa zaid ya 20 mpaka usa.. Hawez kubali
 
Vipicha vidogo sana,
kwa mimi nnayetumia simu sioni kitu,
sijui kwa nini jf wameamua kuminimaiz hivi,
 
Kwa jinsi alivyotulia, inaonekana anawaza namna ya kutatua matatizo ya wanannchi lakini kwa jinsi ninavyomfahamu lazima atakuwa anawaza namna atakavyopokelewa anakokwenda. Tehe tehe tehe eehe!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom