Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,105
Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je, kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lissu kupitia kikao hiki ameridhia kushiriki uchaguzi mkuu 2024/2025?
Kikao kitatoa kwa umma maazimio au itabaki kuwa siri?