Ni wiki ya tatu Sasa nafatilia zoezi la upigaji picha katika ofisi ya nida temeke ili nipate kitambulisho lakin hakuna sijafanikiwa kupiga picha.
Ofisi hakuna watumishi badala yake askari watatu ndo wamepewa jukumu la kuandikisha , kukagua fomu na hata kusimamia zoezi la upigaji picha, hali hii imepelekea usimamizi mbaya wa zoezi la picha.
Watu ni wengi lakina wanashindwa kuwaongoza na kupiga picha, licha kukaa foleni Kila siku lakin ikifika saa nane foleni unavunjwa wanasema muda wa kazi umeisha rudini nyumbani ukija tena siku ya pili Hali ni ile ile.
Ila Cha kuchangaza foleni imekuwa mtaji wa kupata pesa kwa wasimamizi wa nida temeke, ili usikae foleni unatakiwa utoe elfu 30, ukishatoa askari anakupitisha moja kwa moja mpaka chumba Cha picha.
Inaonekana huu mchezo wa kutoa elfu 30 ofisi umeridhia, yaani kama hauna pesa Kila siku utaenda na kurudi hufanikiwi kupiga picha.
Maafisa wa nida mnalipwa mshahara mnashindwa nini kusimamia zoezi hili kwa umakini. Mnakwama wap? Kwa Nini mnampa askari majukumu ambayo hatakiwa kufanya.