Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie

Ila bishanga kwenye madudu ya wanaume kitandani,wanawake nao hovyoooo.Wakati mwingine bora wanaume!
 
Kila la kheri Cheusi msisitizie Mr. aombe sana kwa Mungu asije akadondokea kwenye uzi wa Bishanga.
Bishanga Bishanga Bishanga ........narudia kusema .....mianaume ndivyo ilivyo.....hovyooooo hata ifanyiwe nini..kha!
SAMAHANI BI ASHA KWA UCHAKACHUAJI KUNA WATU HUMU INAELEKEA UZI WANGU WA JANA WAMELALA WANAUOTA
na log off (source: washawasha)!
 
Fide ameanza yale ya kwenye siredi ya bishanga!

Hapa nataka Cheusi aelewe Mr. hata akirudi saa 7 au 9 katoka kuangalia mechi ya Barca na Real aone ni kitu cha kawaida asiwe na wivu utakao hatarisha amani ya ndoa yake, siku zote ajifanye mjinga atadumu katika ndoa yake mpaka kifo kiwatenganishe
 
Ila bishanga kwenye madudu ya wanaume kitandani,wanawake nao hovyoooo.Wakati mwingine bora wanaume!
acha uchakachuaji,rudi kwenye mstari,kwanza ushaambiwa ni for ladies only,kilichokuleta nini hapa?
 
Bishanga Bishanga Bishanga ........narudia kusema .....mianaume ndivyo ilivyo.....hovyooooo hata ifanyiwe nini..kha!
SAMAHANI BI ASHA KWA UCHAKACHUAJI KUNA WATU HUMU INAELEKEA UZI WANGU WA JANA WAMELALA WANAUOTA
na log off (source: washawasha)!

Hahahaha ile sredi imekupa promo sana hivi kabox kaPM hakajajaa kweli?
 
Kaizer,niko hapa nakucheki tu,na ukiniuzi nitashusha 'mianaume ndivyo ilivyo...part 2' na ndo kilio kitakuwa kikubwa zaidi maana hiyo nita base kwenye madudu yetu ya kitandani tu.
by the way alokuruhusu uingie uzi huu nani?

Aisee....hebu tupe wkanza statistics hapa jana alone umepata PM ngapi kutoka kwa wadada manake mbinu hizi

Hapa nipo nipo kwanza.....
 
Hapa nataka Cheusi aelewe Mr. hata akirudi saa 7 au 9 katoka kuangalia mechi ya Barca na Real aone ni kitu cha kawaida asiwe na wivu utakao hatarisha amani ya ndoa yake, siku zote ajifanye mjinga atadumu katika ndoa yake mpaka kifo kiwatenganishe
yale yaleeeeeeeeee........... unarudi saa 8 usiku ukiulizwa unahamaki....'hapa kwangu kwako? nani kaolewa humu ndani?....mwanaume huwa anachelewa nyumbani kwake?.......hovyooooooooo!!!!!
 
Bi Asha,kwanza kunradhi kwa kuparamia uzi wenu,niseme matatu tu:
1.Uzi umetulia,wenye masikio na wasikie.
2.Hongera zake Bi Cheusi kwa kupata future my hasband wake,nawatakia furaha na baraka tele katika maisha yao ya baadae .
3.Hii thread nitai print na kulipa limwanamke limoja ambalo yaani mawazo na matendo yake ni diametricaly opposite kabisa na uzi huu,lenyewe linafikiri limeumbwa litumikiwe na wanaume tu,vivu,limbea,liongo,extravagant,demanding...yaani sijui hilo limwanamke nilieleze je,sijui halikufundwa kwao?
 
Yani Bishanga umeiona mimi tu ndo mchakachuaji wengine aah!Kwanza na wewe nini kimekuleta humu?Get lost!!
 
Bishanga Bishanga Bishanga ........narudia kusema .....mianaume ndivyo ilivyo.....hovyooooo hata ifanyiwe nini..kha!
SAMAHANI BI ASHA KWA UCHAKACHUAJI KUNA WATU HUMU INAELEKEA UZI WANGU WA JANA WAMELALA WANAUOTA
na log off (source: washawasha)!

Uliwakomesha sana jana bado tu wanauota mpaka Kaizer (Nimetolea tu mfano usinitoe macho mwana wa mwenzio) jasho lilimtoka kweli kiboko
 
Shem ADI,

Najua mimi kama mwanaume na shem wako sipaswi kuingia kwenye kitchen party

Napenda kukufahamishja nimepita hapa kwa ajili ya kuuprinti huu muswada. Ntampelekea bibi ausome afu achague mwenyewe....either aufanyie kazi ili nimuoe tena au awafunde hawa mabinti wanaomwalika mara kwa mara kwenye vichen partiez.

Baada ya kusema hayo, naomba nikusalimu: Hujambo shem langu la ukweli? Hommie alishanambia hujambo lakini napenda kusikia kauli yako mwenyewe (waweza kuta kaamka na hangover huyu)

Ha-log off mtu hapa!
 
Wifi,

Hapa mie nimeishiwa maneno kiukweli
Hii kichen party umeicopy kwa bi hindu nini?

(Hii thread ulimtendea haki usiku kaka yangu kweli? Maana dah akili yote naona ilihamia hapa) Offtopic

Dena Wifi yangu usiwe na wasi Dear... Huu Uzi nilianza andaa two weeks ago na ulikua tayari mda mrefu but twapishana sana na Cheusie.... Mie Mume wangu kwanza then mambo mengine yafuata.... Naamini atapita hapa na atakubali ukweli kua nisha mpa Vyake kama alivonipa vyangu...

@ALL - Am sorry jamani nimekimbia Uzi, Bahati mbaya sitaweza uendeleza for ipo nje ya uwezo wangu kwa sasa BUT mwaweza endeleza somo kwa wale ambao wapo willing (Hasa kama Cheusie akitokeza atahitaji kampani yenu hasa wadada) Natanguliza shukrani...

Pamoja Saana

AshaDii.
 
Back
Top Bottom