Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie

Hivi nyie watu nyie...ina maana yani kwamba mtu akutane na limwanaume lake, wavuane miteitei yao gesti then gheto then waone sasa ngoja tuishi pamoja.....halafu nyie mnajifanya mnajua saaaaanaaa!!
Mnajua kwasababu mmeshavuliwa michupi yenu mara nyingi zaidi au???

mi nawaangalia tu! Mnajifanya mama thery sio?? Yani wajuzi saaana wa mambo ya chumbani kwa wengine....nyie watu nyie!!
Hahahaha!! Mbavu zangu ngoja nikachekeee nje walahiii....habari yako Biggy
 
Na mimi nawashangaa hawa wajuzi wa mambo ya watu aseee....labda kaizer anaelewa, mimi sielewi, au asprin ni mjuzi sana wa haya mambo...mimi sijui hii makitu hii ina maana gani.
Kwanza mwanamke akianza kunidekezadekeza sana nabadilisha utaratibu....kwani nimeoa mama yangu mimi.
Hiki kibabu hakitabiriki.....
 
Hivi nyie watu nyie...ina maana yani kwamba mtu akutane na limwanaume lake, wavuane miteitei yao gesti then gheto then waone sasa ngoja tuishi pamoja.....halafu nyie mnajifanya mnajua saaaaanaaa!!
Mnajua kwasababu mmeshavuliwa michupi yenu mara nyingi zaidi au???

mi nawaangalia tu! Mnajifanya mama thery sio?? Yani wajuzi saaana wa mambo ya chumbani kwa wengine....nyie watu nyie!!

Nimecheka kwa laudi spika kwa kweli kha???
 
Na mimi nawashangaa hawa wajuzi wa mambo ya watu aseee....labda kaizer anaelewa, mimi sielewi, au asprin ni mjuzi sana wa haya mambo...mimi sijui hii makitu hii ina maana gani.
Kwanza mwanamke akianza kunidekezadekeza sana nabadilisha utaratibu....kwani nimeoa mama yangu mimi.
hahaha Ngoja waje wakujibu wenyewe!
 
Hiyo ni kweli. Ukishapata watoto mengi kati ya hayo huwezi kufanya. Mimi nilikaa miaka minne kwenye ndoa bila watoto (by choice) na sikuwahi kuwa na house girl all that time. Maisha yalikuwa ni kama honeymoon kila siku. Nilikuwa nampikia mume wangu, nafanya kila kitu. Sikutaka house girl kwa kuwa nilitaka privacy (kama hujuavyo mkiwa wawili inavyokuwa raha, mkiamua kulala kwenye makochi poa, jikoni poa)

Baada ya ku conceive mbona nilikimbia faster kutafuta house girl; na asikwambie mtu ulishapata mtoto jicho lote ni kwake na ni ngumu kumwamini housegirl ku take care of ya huyo malaika. Hence I assumed my hubby alinielewa; kama hakunielewa na wakati mtoto ni wetu sote; there is nothing I can do about it. lol. Yeye mtoto mkubwa service nyingine kama za msosi ilibidi ale tu chakula cha house girl; kupika ninapika week ends tuuuu.

Sweetheart, Nice stuff babygal. But, I say but, I doubt its sustainability, especially when those little ones start to arrive in the family na majukumu ya mama kuongezeka. Then huyu Mfalme unayemfuga humu ndani kwa lusts zote hizi ataanza kuwa mbogo kwa kuona baadhi zimepungua. All I can say ni take the basics- Heshima, care na trust.
 
Hivi nyie watu nyie...ina maana yani kwamba mtu akutane na limwanaume lake, wavuane miteitei yao gesti then gheto then waone sasa ngoja tuishi pamoja.....halafu nyie mnajifanya mnajua saaaaanaaa!!
Mnajua kwasababu mmeshavuliwa michupi yenu mara nyingi zaidi au???

mi nawaangalia tu! Mnajifanya mama thery sio?? Yani wajuzi saaana wa mambo ya chumbani kwa wengine....nyie watu nyie!!

Hao wakati wanaenda kuzivua una hakika walipata mafunzo yoyote? huwezi kuona matunda kwa kitu chochote kama huna mafunzo? nikuulize swali kuwa dr huwa unatumia miaka mingapi darasani au wewe ukiona tu kuchoma sindano na kujua kuandika basi inatosha kuwa dr?Jmani naomba muelewe ndoa ni taasis nyeti ambayo inapaswa kuheshimiwa na kutolewa darasa na (chi iuta matetei tupu)
 
Na mimi nawashangaa hawa wajuzi wa mambo ya watu aseee....labda kaizer anaelewa, mimi sielewi, au asprin ni mjuzi sana wa haya mambo...mimi sijui hii makitu hii ina maana gani.
Kwanza mwanamke akianza kunidekezadekeza sana nabadilisha utaratibu....kwani nimeoa mama yangu mimi.

Bro and yet it has been said HAKUNA FORMULAR kwenye mambo haya. Being malaika kwake sometimes inabore and wengine ni kama punda hawendi bila kashkash. Sasa ukimfanyia haya yoooote, atapata wapi pa kugombana na wewe?!
 
Afu ngoja nitoe siri ya dalili za mume bora. Mwanaume mwenye upendo utamjua wakati wa uchumba au mwanzo wa ndoa yenu. Ukiwa unafua utamwona na yeye anakuja kukusaidia; na sisemi umwambie njoo tufue; atakuja mwenyewe lol. Hiyo ni siri nawamegea ya caring husband au husband to be. Kazi za nyumbani zinakuwa ni sehemu ya malovedave. Ukiona wewe unatoka jasho yeye anasoma gazeti jua umeolewa na Boss, pole .

Hii nimeona kwa wanaume wengi tu wenye upendo hawaoni shida kusaidia kazi za home inapobidi hasa kama hakuna house girl. Including my dad when was young. Jwa hiyo wadada jueni dalili za loving husband.
 
Nyumba kubwa . .hongera kwa hilo ...ni kweli wapo ma-hubby wa hivyo ila source ni malezi ya alikotokea kwa wale ambao mahuby wenu hawatafanya hivyo msilete malalamishi hapa kusema wangu hafanyi na ni ishara hanijali.. NO.mens wengi wanajua hizo ni shughuli zetu kinamama japo ukipata wa kusaidiana naye unamshukuru Mungu la siwa hivyo wala usijipe tabu ..ukitaka amani nyumbani msishindane kisa mume wa dada anapiga deki na wewe hubby njoo upike atakuambia nenda kaolewe na shemejio mwenzangu inahusu nini mwishowe useme anakudharau aaa? ..ishi uwezavyo si kila mara utaishi upendavyo
 
Mimi nina watoto wa kiume tu ntawalea wasiwe na tabia za ki boss. Lakini mbona baba yangu amekulia kijijini huko karagwe ambako mwanaume kupika ni taboo lakini alikuwa anamsaidia mama???

Anyway ndio maana nikasema usimwambie njoo nisaidie kufua; ila ukiona anakuja jua mume umepata.

Nyumba kubwa . .hongera kwa hilo ...ni kweli wapo ma-hubby wa hivyo ila source ni malezi ya alikotokea kwa wale ambao mahuby wenu hawatafanya hivyo msilete malalamishi hapa kusema wangu hafanyi na ni ishara hanijali.. NO.mens wengi wanajua hizo ni shughuli zetu kinamama japo ukipata wa kusaidiana naye unamshukuru Mungu la siwa hivyo wala usijipe tabu ..ukitaka amani nyumbani msishindane kisa mume wa dada anapiga deki na wewe hubby njoo upike atakuambia nenda kaolewe na shemejio mwenzangu inahusu nini mwishowe useme anakudharau aaa? ..ishi uwezavyo si kila mara utaishi upendavyo
 
AshaDii Big Up...Umemtendea haki bi mdogo kwa kumpatia maangalizo haya. Nami nikiwa mwanandoa - wa miaka 15, nimsisitizie tu kuwa maisha ni wao wawili....akafurahie maisha kuanzia siku ya kwanza na azibe masikio kwa wale walioko busy kutishia wenye ndoa changa eti subiri ifikishe miaka 2, 3, 4, mume ataanza kubadilika..mabadiliko ni matokeo tu! Kwa mfano, utakuta wakati wa uchumba, wapendanao wanapiga dates za kufa mtu; lakini baada ya ndoa na kupata ujauzito, mke anaanza kukataa outings, mtoto akizaliwa ndio usiseme...matokeo yake mume ana-conclude kuwa mke wake hapendi kutoka hivyo anaanza kutoka kivyake vyake na huo ndio unakuwa mwisho wa mume kumpa outings tena mke wake.....ndo keshazoea kutoka kivyake ati!!
 
Sasa utaenda outing uache mtoto wa miezi mitatu na house girl??? Utajuaje kama ata take good care? Mtoto aking'atwa na mbu je???Lol.

Kusema ukweli ukizaa unahitaji a break watoto wakikua kidogo outing zinaendelea kama kawa. Outing zisichukuliwe kama sehemu ya kumchunga mume. Outing raha yake kila mmoja roho iwe imependa kutoka. Kwa hiyo wazazi waleeni watoto kidogo outing zipo na zitaendelea kuwepo unless mtu aliruka stage.

AshaDii Big Up...Umemtendea haki bi mdogo kwa kumpatia maangalizo haya. Nami nikiwa mwanandoa - wa miaka 15, nimsisitizie tu kuwa maisha ni wao wawili....akafurahie maisha kuanzia siku ya kwanza na azibe masikio kwa wale walioko busy kutishia wenye ndoa changa eti subiri ifikishe miaka 2, 3, 4, mume ataanza kubadilika..mabadiliko ni matokeo tu! Kwa mfano, utakuta wakati wa uchumba, wapendanao wanapiga dates za kufa mtu; lakini baada ya ndoa na kupata ujauzito, mke anaanza kukataa outings, mtoto akizaliwa ndio usiseme...matokeo yake mume ana-conclude kuwa mke wake hapendi kutoka hivyo anaanza kutoka kivyake vyake na huo ndio unakuwa mwisho wa mume kumpa outings tena mke wake.....ndo keshazoea kutoka kivyake ati!!
 
Asante sn my Big sisy,yani hapa umeshanipa litwishen la kutosha hapa!
Nampa hongera mamito hapo,mungu amtangulie na kumpa ndoa yenye furaha!
Naomba niongezee hapo kidogo japo siko ndoan ila nimedesa mahala,Bidada awe makini sn kwa maneno na taarifa za ajabu atakazoletewa kuhusu mumewe,asilimia kubwa ya habari hizi huwa zakizushi na uchonganishi na kuharibu maisha yao ya amani.
My sisy itabidi nikutafute uniandalie training maalumu ili nami siku nikiingia huko atakayekuwa my Hubby afurahie maisha km ym Big Shem anavyoenjoy lol!

hapo nimepapenda na kukupenda Canta, mfano kabisa dada yako AshaDii ananipa raha sababu hiyo hiyo hasikilizi maneno ya UMBEYA.
Nitakupigia debe kwa Sisy wako!
 
Hivi nyie watu nyie...ina maana yani kwamba mtu akutane na limwanaume lake, wavuane miteitei yao gesti then gheto then waone sasa ngoja tuishi pamoja.....halafu nyie mnajifanya mnajua saaaaanaaa!!
Mnajua kwasababu mmeshavuliwa michupi yenu mara nyingi zaidi au???

mi nawaangalia tu! Mnajifanya mama thery sio?? Yani wajuzi saaana wa mambo ya chumbani kwa wengine....nyie watu nyie!!

Hahahaha pitia pitia na kule kwa Bishanga nako uone uzi wake nae anavyo waasa wanaume type yake.
 
Nyumba Kubwa... Lol! Indeed. Mbu atoke wapi jamani wakati vyandarua vya Ngao Bwerereeee ;-)..On a serious note, huwa tunajisahau sana na kujizeesha pindi tunapopata watoto...na wake wa siku hizi ni mwendo wa chap chap, wa kwanza akifikisha moja nanusu, mimba nyingine hioooo! By the time unadhania uko tayari kuanza mitoko, mume nae keshajizoelea freedom yake. Siku moja ktk wiki haitamletea huyo mtoto madhara yoyote bana! Na hii haimanishi kumchunga mume..La hasha...
 
Nimekupata. Lol.

Kuhusus mbu kumbuka mtoto mdogo anataka machiwa day and night; sasa mdada akimchukua kumpa machiwa na mbu anaingia ndani ya neti (yenye ngao) na navyojua wadada hawana akili ya kusema niangalie kama mbu wameingia. Si unajua Dar na hawa mbu. lol. Mie niko makini wanangu hawaja wahi kuugua malaria wakiwa below 3 years. Mpaka ma doctor wao wananisifu.

Nyumba Kubwa... Lol! Indeed. Mbu atoke wapi jamani wakati vyandarua vya Ngao Bwerereeee ;-)..On a serious note, huwa tunajisahau sana na kujizeesha pindi tunapopata watoto...na wake wa siku hizi ni mwendo wa chap chap, wa kwanza akifikisha moja nanusu, mimba nyingine hioooo! By the time unadhania uko tayari kuanza mitoko, mume nae keshajizoelea freedom yake. Siku moja ktk wiki haitamletea huyo mtoto madhara yoyote bana! Na hii haimanishi kumchunga mume..La hasha...
 
Sasa badugu labda kama ni house wife..hebu niambie katika wiki nzima unapata masaa mangapi ya kukaa na watoto?maana kwa hali halisi kila asubuhi uko barabarani kuwahi foleni kuingia nyumbani tena hadi usiku mtoto hapati malezi ya kutosha ..mara mdada naye anatembelewa na mlinzi wa jirani who knowz watoto wanaona mengi hadi huruma ..kifupi watoto nao wanahitaji att zetu sana. tukisema baba na mama evry wkend muandamane sijui itakuwaje lol labda tuseme mama ashinde na watoto wakishalala ndio umfwate hubby
 
Back
Top Bottom