Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie


"CHAKULA"


Ni wazi kua kaka/baba zetu wanapenda Sex, Great Food, Good Drinks mengine ndo hufuata… Wadada/wamama We love Good Life, Attention, Hivyo basi with Great Food you can say volume of words… Show the extent of your affection and Say the words I Love you… and this Dears is with food – Not only food, But Great Food… Chakula waweza onesha intensity ya mapenzi yako saa ingine kuliko maneno… It has that power..

Chakula pia kinaweza haribu mahusiano hasa kati ya wenza/wapenzi… Hii hutokea saana pale mdada/mmama mapishi nyumbani kwake yamemshinda kabisaa… In short hajui kupika… wakaka/baba wengine hawana makuu na huvumilia na kuona sawa tu… (ni wachache by the way…) BUT Issue ni kwa wale ambao kalelewa katika familia ambayo they are Great Cooks… yaani kazoea chakula kizuri na kitamu pia… yaani hata kama kala tu Ugali na dagaa… huo ugali ni ugali umesongwa hasa!… na hizo dagaa mazagazaga yoote from kitunguu saumu, nazi, nyanya/hoho/carrot/vitunguu, curry powder to perfection. (Huyu akipata nyumba ndogo anajua wajibu wake katika sector ya chakula usishangae ukitangaziwa mke mdogo….)salads. Of course bila kusahau Matunda na Home made fresh Juice – for vitu kama soda, wine, beer not recommended kuenda sambamba na food…
Halafu mwambie Cheusi anitafute i can teach her extra cooking skills, you know cooking while having them leg warmers on....lol
 
Shem ADI,

Najua mimi kama mwanaume na shem wako sipaswi kuingia kwenye kitchen party

Napenda kukufahamishja nimepita hapa kwa ajili ya kuuprinti huu muswada. Ntampelekea bibi ausome afu achague mwenyewe....either aufanyie kazi ili nimuoe tena au awafunde hawa mabinti wanaomwalika mara kwa mara kwenye vichen partiez.

Baada ya kusema hayo, naomba nikusalimu: Hujambo shem langu la ukweli? Hommie alishanambia hujambo lakini napenda kusikia kauli yako mwenyewe (waweza kuta kaamka na hangover huyu)

Ha-log off mtu hapa!
hivi ile party ya mabachela ambayo huwa wanafanya kabla ya ndoa inaitwaje vile?
Mkuu Aspirin ukiwa Babu wa mamemba wengi humu hebu andaa thread ya kutoa nasaha kwa bachelor anayekaribia kuoa.
 
hommie naamini hujarizika na hili jibu hapa chini. Akchuale niko bize namuandalia sredi la kujibu ule upupu wake. Hana adabu kabisa huyu kijana.
nshauona uzi wako mkuu,ngoja nikoki gobore langu nakufuata huko huko!
 
Asante sn my Big sisy,yani hapa umeshanipa litwishen la kutosha hapa!
Nampa hongera mamito hapo,mungu amtangulie na kumpa ndoa yenye furaha!
Naomba niongezee hapo kidogo japo siko ndoan ila nimedesa mahala,Bidada awe makini sn kwa maneno na taarifa za ajabu atakazoletewa kuhusu mumewe,asilimia kubwa ya habari hizi huwa zakizushi na uchonganishi na kuharibu maisha yao ya amani.
My sisy itabidi nikutafute uniandalie training maalumu ili nami siku nikiingia huko atakayekuwa my Hubby afurahie maisha km ym Big Shem anavyoenjoy lol!
 
dah ujumbe mzuri sana u
NYAUTENDA VYEMA ...kwa gharama zooote......ila mijianaume ya siku izi ishakengeuka...imegechuka..aikumbatiwi wala aifumbatiwi ipo ipo tu km nyuki....MIKALIIIIII!!!!!!!!!!!
isipokuwa mimi.
 
Dena Wifi yangu usiwe na wasi Dear... Huu Uzi nilianza andaa two weeks ago na ulikua tayari mda mrefu but twapishana sana na Cheusie.... Mie Mume wangu kwanza then mambo mengine yafuata.... Naamini atapita hapa na atakubali ukweli kua nisha mpa Vyake kama alivonipa vyangu...


@ALL - Am sorry jamani nimekimbia Uzi, Bahati mbaya sitaweza uendeleza for ipo nje ya uwezo wangu kwa sasa BUT mwaweza endeleza somo kwa wale ambao wapo willing (Hasa kama Cheusie akitokeza atahitaji kampani yenu hasa wadada) Natanguliza shukrani...

Pamoja Saana

AshaDii.

Ngoja tumsubiri cheusi tumuongezee maujuzi
 
Very nice post AshaD congrats ,Naomba niongezee kidogo nimeshindwa ku-quote my pc has became useless...back to topic jamani hii kila mtarajiwa au mwanandoa akiipitia ina manufaa sana siku za usoni na pia yale malalamishi ya kanifanya sijui nini yatapungua kwa % nyingi tuu..pia msiache kusali pamoja wewe na mumeo na mkija pata watoto waendelee na utaratibu wa kusali pamoja (siri ambayo shetani anajua mkiijua mtamshinda)maombi ya pamoja yana nguvu sana
 
I am humbled (Source, sweetie) ila jana nimeota vingine kabisa, nikamshukuru Mungu kuwa na mke niliyenaye.....khaaa!

He he he kweli Kaizer ulishikika jana (Maana umekuwa mpoleee kupita maelezo) LAkini ni vizuri mara moja moja si mbaya)
 
Hivi nyie watu nyie...ina maana yani kwamba mtu akutane na limwanaume lake, wavuane miteitei yao gesti then gheto then waone sasa ngoja tuishi pamoja.....halafu nyie mnajifanya mnajua saaaaanaaa!!
Mnajua kwasababu mmeshavuliwa michupi yenu mara nyingi zaidi au???

mi nawaangalia tu! Mnajifanya mama thery sio?? Yani wajuzi saaana wa mambo ya chumbani kwa wengine....nyie watu nyie!!
 
Back
Top Bottom