Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie

Mwambie Cheusi anitafute nimpe hiyo manual ya Kamasutra (Drawn from the Indians)......Don't ask me questions kwa sababu hii thread ni kwa wanawake tu nilikuwa napita kusalimia.....lol

OMG!! Simshauri.... asije muhama mchumbake bure!! Yaani PA ilitakiwa usiingie hapa sababu ushafanya hivo you have to contribute in courtesy ya Cheusie..
 
Mwambie Cheusi anitafute nimpe hiyo manual ya Kamasutra (Drawn from the Indians)......Don't ask me questions kwa sababu hii thread ni kwa wanawake tu nilikuwa napita kusalimia.....lol
mmmh baby wetu ngoja nikupm maana siku si nyingi nitakuwa muhusika kuna mtu kafika dau
 
Hodi humu!Samahani kwa kuingia,najua hatukatazwi hata kuchombeza,ngoja niangalie wachangiaji ili come january nijue mashambulizi nayaanzia wapi,(nimebadili msimamo!)
..

Umeshagundua kua na Plus one kuna raha yake eeeh?? All the best brother...
 
wapi unaenda sa ivi Smile....Neno linasema Enyi waume....wapemdemi wale zenu......kama Kristu alivyolipenda kanisa.....wale mke asikose kumstahi mumewe.....(Efe 5:25-32)Nami nitarudi baadaye 'kumalizia'
kuna presentation naenda kufanya mahali naona huku mnanimalizia make up yangu love u all badae saa nane
 
Sweetheart, Nice stuff babygal. But, I say but, I doubt its sustainability, especially when those little ones start to arrive in the family na majukumu ya mama kuongezeka. Then huyu Mfalme unayemfuga humu ndani kwa lusts zote hizi ataanza kuwa mbogo kwa kuona baadhi zimepungua. All I can say ni take the basics- Heshima, care na trust.

Nimependa hapo.... Na ni ya msingi saana. Na naaminii kama huna the above ulotaja huwezi fanikiwa pale juu.... Hayo maelezo dear ukiangalia kwa ukaribu sio kwamba faida yake ipo pande moja, naona ni pande zoote hata kwa mke mwenyewe... Because of you Respect, care and Trust then you will inevitably take care of him in the most possible ways - na sina maana iwe one sided... NO! He is responsible and obliged too....
 
Well, lets agree at this moment although hiyo ya both parts playing the game equally linantatiza. But frankly nimeipenda sana bandiko lako naliprint nkalisome weekend nami nianza kujinoa hahahahahaha
 
Babu Aspirin sijui yu wapi!Aje na nasaha hapa,anahitajika maana TF keshatoa msaada!Lowyer Kloro nae ndo anaamka!
 
Baby.....hapa hakuna substitution mpenzi....huyu FLY anaweza kutafuta sehemu nyengine tu ili aujue ukweli kama una muda au la.....besides...me ndo najua the exact truth so worry not.....lol

leo walau tutakuwa na break from Bishanga's outburst.....
Kaizer,niko hapa nakucheki tu,na ukiniuzi nitashusha 'mianaume ndivyo tulivyo...part 2' na ndo kilio kitakuwa kikubwa zaidi maana hiyo nita base kwenye madudu yetu ya kitandani tu.
by the way alokuruhusu uingie uzi huu nani?
 
Inategemea kaka angu midume yenyewe siku izi inabebeka basi?

Ndo hapo sasa ukipata dume suruali lazima ukonde kwa mawazo ndo yale aliyo weka Bishanga wifi yako kwangu mbona anapata raha anashangaa wadada wengine wanavyo lalamika mara sijui mme kalala na viatu yaani kasahau kuvua katoka huko bwax analala navyo kitandani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom