Kitakachoamua CHADEMA kupata wabunge wengi hiki hapa

Lissu anafahamika vizuri sana, ukiona mtu hamjui huko vijijini, ujue huyo hata mambo ya siasa ya kawaida hajui.
Uko sahihi, nimekumbuka ile ishu ya kupigwa risasi ilitamalaki mpaka pembezoni kabisa! Sure he is the right candidate!
 
Kitakachoamua CHADEMA kupata wabunge wengi ni nguvu kubwa watakayoielekeza kwenye Urais.

Tofauti na wengi wanavyoshauri kuwa CHADEMA iachane na Urais badala yake ielekeze nguvu nyingi majimboni mimi nashauri nafasi ya mgombea Urais ni muhimu katika kuamua wingi wabunge watakaopata upinzani.

Kama CHADEMA ikipata mgombea imara wakamnadi kwa nguvu zote akamtikisa Magufuli ipasavyo basi CHADEMA itapata wabunge wengi sana maana wataifanya CCM ielekeze nguvu zake zote kwenye kulinda nafasi ya Urais. Ikumbuke Magufuli anahitaji siyo tu kushinda bali anahitaji kushinda kwa kishindo ili kudhihirisha kuwa anakubalika.

Hivyo CHADEMA wakiwa na amsha amsha kwenye Urais watamfanya adui apaniki na awekeze nguvu zaidi kwenye kupata kura nyingi za urais. Adui hatakubali kushindwa wala kupata kura chache ni bora akapoteza majimbo lakini yeye binafsi aonekane anakubalika.

CHADEMA ikijiroga ikaweka mgombea dhaifu na ikaonyesha kuzingatia zaidi majimbo basi CCM watajihesabia ushindi wa kishindo kwenye urais na nguvu nyingi watazipeleka majimboni matokeo yake kitakachotokea ni hatari, sisemi kuwa CCM wanakubalika bali watafanya figisu za kufa mtu.

CHADEMA msimamisheni mgombea mithili ya Tundu Lissu au Membe atakayeonyesha kweli ana uchu na urais, mgombea atakayeonesha yupo tayari kwa lolote lile kiasi kwamba Jiwe aogope aone ni bora akaze kwenye urais.

Safari hii inahitajika amsha amsha zaidi ya 2015 ili kupata wabunge wengi, ikumbukwe kuwa wabunge wengi wamehama hivyo CHADEMA itakuja na wagombea wapya hivyo itahitajika nguvu ya ziada.
Kuna tume huru ya uchaguzi? hakuna uchaguzi ni maigizo tupu, kama kungekuwa na tume huru ya uchaguzi mgombea wa CCM akasimama hata na Dr Shika wa TLP wa CCM angepigwa mapema sn kabla ya saa 3 asubuhi.
 
Kitakachoamua CHADEMA kupata wabunge wengi ni nguvu kubwa watakayoielekeza kwenye Urais.

Tofauti na wengi wanavyoshauri kuwa CHADEMA iachane na Urais badala yake ielekeze nguvu nyingi majimboni mimi nashauri nafasi ya mgombea Urais ni muhimu katika kuamua wingi wabunge watakaopata upinzani.

Kama CHADEMA ikipata mgombea imara wakamnadi kwa nguvu zote akamtikisa Magufuli ipasavyo basi CHADEMA itapata wabunge wengi sana maana wataifanya CCM ielekeze nguvu zake zote kwenye kulinda nafasi ya Urais. Ikumbuke Magufuli anahitaji siyo tu kushinda bali anahitaji kushinda kwa kishindo ili kudhihirisha kuwa anakubalika.

Hivyo CHADEMA wakiwa na amsha amsha kwenye Urais watamfanya adui apaniki na awekeze nguvu zaidi kwenye kupata kura nyingi za urais. Adui hatakubali kushindwa wala kupata kura chache ni bora akapoteza majimbo lakini yeye binafsi aonekane anakubalika.

CHADEMA ikijiroga ikaweka mgombea dhaifu na ikaonyesha kuzingatia zaidi majimbo basi CCM watajihesabia ushindi wa kishindo kwenye urais na nguvu nyingi watazipeleka majimboni matokeo yake kitakachotokea ni hatari, sisemi kuwa CCM wanakubalika bali watafanya figisu za kufa mtu.

CHADEMA msimamisheni mgombea mithili ya Tundu Lissu au Membe atakayeonyesha kweli ana uchu na urais, mgombea atakayeonesha yupo tayari kwa lolote lile kiasi kwamba Jiwe aogope aone ni bora akaze kwenye urais.

Safari hii inahitajika amsha amsha zaidi ya 2015 ili kupata wabunge wengi, ikumbukwe kuwa wabunge wengi wamehama hivyo CHADEMA itakuja na wagombea wapya hivyo itahitajika nguvu ya ziada.
kwa picha za photoshoot ya madaraja kuna watu watapiga ata nyeto jukwaani
 
kwa hiyo lengo ni kurahisha kupata idadi kubwa ya wabunge badala ya uraisi?!
 
Mgombea urais wa CDM alitakiwa awepo anajulikana kama ilivyokuwa slaa before lowassa kuja.lowassa alikuwa na popularity kubwa akaweza kuweka gap la slaa pembeni kwa muda, japo consequences hazitatibika leo wala kesho

Kama mgombea urais leo bado miezi minne unamtafuta kwa tochi,

Usitegemee miujiza, CDM ni kichwa cha mwendawazimu
Umeona mgombea wa CHADEMA anatafutwa kwa tochi? Hujasikia waliotangaza nia?
 
Ili kuhakikisha kunakuwa na uchaguzi wa maana lazima watu wajipange, wapinzani wanapendwa sn nchi hii lakini kwa ukweli bila tume huru ya uchaguzi watafedheheka sn mwaka huu. Membe hana impact kwa sasa, angejiunga na lowassa wakagombea 2015, Membe angekuwa rais leo hii maana isingekuwa rahisi kwa JK (rais wa wakati ule) kupinga Membe maana alikuwa chaguo lake, na kwa kweli angejitahidi kuhakikisha Membe anashinda. Ok hayo yalishapita, Kwa uchaguzi huu:

1. CDM inahitaji watu wengi kujitolea kwa dhati ili kuwa mawakala waaminifu. Fedha zitagawanywa sana kupanga matokeo. Mawakala wakiwa wapenda fedha(Corrupt) na wasaliti, CDM itapoteza uchaguzi huu kirahisi sana;

2. Kila mgombea: Rais, Mbunge na Diwani awe na wakala wake, mtu wa kumsimamia kura zake kwa kila hatua na wawe smart kutoa taarifa ya kinachoendelea katika chumba cha kupigia na kuhesabia kura;

3. Mawakala wasipoteze focus, kama wewe ni kumsimamia Rais/mbunge au Diwani stick kwenye jukumu lako, kura nyingi zinapotea kutokana na kujichanganya kwa mawakala;

4. Wananchi wasikubali kamwe kirahisi kwa mtu waliyemchagua kubadilishiwa matokeo, wawe tayari kupigana kufa la sivyo, watachezewa sn katika uchaguzi huu;

5. Ikitokea hali ya ucheleweshaji wa makusudi wa kutangaza washindi (wakati mwingine kuanza kuhesabu kura upya pindi mpinzani anapokuwa ameshinda) kwanza wananchi wafanye vurugu kubwa na ya hatari kushinikiza watangazwe washindi, pili wawepo watu standby wa kuwahudumia mawakala na wagimbea endapo itatokea kukaa muda mrefu kusubiri mchakato kukamilika;
6. Ikumbukwe kuwa hatuna mahabusu ya kutosha watu wote, na hakuna jeshi linaweza kuuwa wananchi wake wote, hivyo kujitoa muhanga kunaokoa vizazi vijavyo.

Ninawasihi kwa jina lake MUNGU, kila mwenye dhamana ya ungozi katika uchaguzi huu akatende HAKI, maana HAKI huinua Taifa

NUNGU IBARIKI TANZANIA;
MUNGU BARIKI UCHAGUZI UJAO;
MUNGU MBARIKI NA KUMPA HEKMA RAISI WETU JPM
MUNGU WABARIKI WATANZANIA WOTE WAKACHAGUE VIONGOZI WAO KWA HEKIMA KUBWA
 
Lord Diplock MR,

Nakubaliana na wewe kabisa. Wazo hilo la kupigania ubunge nililileta mimi. Nimekupata vema. Ndiyo faida ya kushauriana. My thinking was that watu wa vijijini huwaambii lolote kuhusu Jiwe, lkn unaweza ukawabadilisha/ukawa- win kwa wabunge. That was my thinking. Na wasiwasi wangu ni kupata mgombea wa urais mwenye mvuto mkubwa kama alivyokuwa Lowasa! Upinzani wanaye? Lisu ni mzuri, ila anajulikana mpaka huko "mashenzini"? Likewise, Membe anajulikana kwa wasomi si "mashenzini". Pili kuna notion kuwa upinzani usifanye makosa ya kuleta masalia ya CCM maana athali zake mpaka leo zinautafuna upinzani. Unasemaje
Shule za kata zmeongeza awareness maeneo ya vijijini msje Mka underestimate ...uelewa ni mkubwa. Tunakoelekea mtaji wa wajinga unaenda kupotea. Fanyeni siasa Safi ili uwe ndy mtaji wa vizaz vijavyo!!
 
Kitakachoamua CHADEMA kupata wabunge wengi ni nguvu kubwa watakayoielekeza kwenye Urais.

Tofauti na wengi wanavyoshauri kuwa CHADEMA iachane na Urais badala yake ielekeze nguvu nyingi majimboni mimi nashauri nafasi ya mgombea Urais ni muhimu katika kuamua wingi wabunge watakaopata upinzani.

Kama CHADEMA ikipata mgombea imara wakamnadi kwa nguvu zote akamtikisa Magufuli ipasavyo basi CHADEMA itapata wabunge wengi sana maana wataifanya CCM ielekeze nguvu zake zote kwenye kulinda nafasi ya Urais. Ikumbuke Magufuli anahitaji siyo tu kushinda bali anahitaji kushinda kwa kishindo ili kudhihirisha kuwa anakubalika.

Hivyo CHADEMA wakiwa na amsha amsha kwenye Urais watamfanya adui apaniki na awekeze nguvu zaidi kwenye kupata kura nyingi za urais. Adui hatakubali kushindwa wala kupata kura chache ni bora akapoteza majimbo lakini yeye binafsi aonekane anakubalika.

CHADEMA ikijiroga ikaweka mgombea dhaifu na ikaonyesha kuzingatia zaidi majimbo basi CCM watajihesabia ushindi wa kishindo kwenye urais na nguvu nyingi watazipeleka majimboni matokeo yake kitakachotokea ni hatari, sisemi kuwa CCM wanakubalika bali watafanya figisu za kufa mtu.

CHADEMA msimamisheni mgombea mithili ya Tundu Lissu au Membe atakayeonyesha kweli ana uchu na urais, mgombea atakayeonesha yupo tayari kwa lolote lile kiasi kwamba Jiwe aogope aone ni bora akaze kwenye urais.

Safari hii inahitajika amsha amsha zaidi ya 2015 ili kupata wabunge wengi, ikumbukwe kuwa wabunge wengi wamehama hivyo CHADEMA itakuja na wagombea wapya hivyo itahitajika nguvu ya ziada.
Hoja za kumtikisa Magu mbona nyingi sana? Na kwakupaniki kwake upinzani mbona itajichukulia points nyingi
Chadema ichange karata zake vizuri
Kikao cha mwisho cha bunge ashakiri wazi kuwa hawezi mapambano pale aliposema "MATUSI HATAVUMILIA" 😂😂😂
 
Kitakachoamua CHADEMA kupata wabunge wengi ni nguvu kubwa watakayoielekeza kwenye Urais.

Tofauti na wengi wanavyoshauri kuwa CHADEMA iachane na Urais badala yake ielekeze nguvu nyingi majimboni mimi nashauri nafasi ya mgombea Urais ni muhimu katika kuamua wingi wabunge watakaopata upinzani.

Kama CHADEMA ikipata mgombea imara wakamnadi kwa nguvu zote akamtikisa Magufuli ipasavyo basi CHADEMA itapata wabunge wengi sana maana wataifanya CCM ielekeze nguvu zake zote kwenye kulinda nafasi ya Urais. Ikumbuke Magufuli anahitaji siyo tu kushinda bali anahitaji kushinda kwa kishindo ili kudhihirisha kuwa anakubalika.

Hivyo CHADEMA wakiwa na amsha amsha kwenye Urais watamfanya adui apaniki na awekeze nguvu zaidi kwenye kupata kura nyingi za urais. Adui hatakubali kushindwa wala kupata kura chache ni bora akapoteza majimbo lakini yeye binafsi aonekane anakubalika.

CHADEMA ikijiroga ikaweka mgombea dhaifu na ikaonyesha kuzingatia zaidi majimbo basi CCM watajihesabia ushindi wa kishindo kwenye urais na nguvu nyingi watazipeleka majimboni matokeo yake kitakachotokea ni hatari, sisemi kuwa CCM wanakubalika bali watafanya figisu za kufa mtu.

CHADEMA msimamisheni mgombea mithili ya Tundu Lissu au Membe atakayeonyesha kweli ana uchu na urais, mgombea atakayeonesha yupo tayari kwa lolote lile kiasi kwamba Jiwe aogope aone ni bora akaze kwenye urais.

Safari hii inahitajika amsha amsha zaidi ya 2015 ili kupata wabunge wengi, ikumbukwe kuwa wabunge wengi wamehama hivyo CHADEMA itakuja na wagombea wapya hivyo itahitajika nguvu ya ziada.
Urais ni muhimu zaidi
 
Back
Top Bottom