Kishindo cha CHADEMA kuzidi kuiangamiza CCM

Mkuu yaani ni tofauti na hii ishu ya diwani Mawazo ambayo ina hit hapa JF kwa sasa au?!!Kudadadeki...wacha nitoke ofsini ni kaisubirie hii new ishu bar na ki Laptop changu.

Mkuu asubuhi ulituarifu umefiwa na bibi na unaelekea mazikoni sasa tena huko bar, au we JALUO? na hii itakuwa mpya.
 
Green star kichaa si lazima arushe mawe. Na hapa nanukuu Iddi Amin katika maelezo aliyokuwa anawapa askari wake kuwa

katika ngumi boxing ukitaka kumshinda refa ambaye hakupendi wee shinda kwa knokout

atabaki hivyo vyo

Ndio linataka kukuta wewe sasa green wewe ni ganmba nini////////////:washing:
 
quote_icon.png
By Idimulwa
Mkuu yaani ni tofauti na hii ishu ya diwani Mawazo ambayo ina hit hapa JF kwa sasa au?!!Kudadadeki...wacha nitoke ofsini ni kaisubirie hii new ishu bar na ki Laptop changu.

Mkuu asubuhi ulituarifu umefiwa na bibi na unaelekea mazikoni sasa tena huko bar, au we JALUO? na hii itakuwa mpya.

Mkuu amefiwa.. Pole zake.. Ila kama amefiwa na bibi yake then anachofanya ni ku-celebrate maisha ya bibi yake.. Maana ni kawaida kwa wajukuu kufurahia maisha ya grands wao wakati wa miciba.. Huzuni inaachwa kwa wafiwa ambao ni watoto wa marehemu na ndugu wengine.. So kama Mkuu Idimulwa ameamua kwenda bar then hajakosea..
 
Greenstar wewe ndo mnafiki mbona husemi na yule mdosi aliyefadhili mkutano mkuu wa uliopita wa uvccm achunguzwe? kwani yeye huyo hao omba omba hakuwaona? Acha kabisa hizo za kuleta. Sabodo ni muwazi hatoi pesa yake uchochoroni wala kwa vitisho vya kutumiwa TRA........lakini wanaotoa pesa kwa magamba wengi wao ni wanafiki au waoga............long live Sabodo

Mkumbushe na zile suti tano alizopewa Mkulu wake inji Jaaakaaaya
 
Mkuu asubuhi ulituarifu umefiwa na bibi na unaelekea mazikoni sasa tena huko bar, au we JALUO? na hii itakuwa mpya.

Kwetu sisi Wakatoliki kifo ni harusi ya mwisho mkuu...Kwa hiyo usishangae kuwa bar...Pia kwetu siye wasukuma mila na desturi zinaruhusu kuserebuka na mpaka sasa ng'ombe kwa ajili ya wajukuu kisha angushwa tayari.
 
Mawazo na makamda wengine kwa sasa wanaelekea Kahama mkoani shinyanga kwenda kuungana na makamda walioko huko wakiendeleza maumivu kwa chama cha majambazi (CCM).
maombi yanazidi kujibu
 
greenstar mim nampata vzr, kwn kwa habar nilizonazo ni kwamba yale mabas ya abiria yanayoitwa 'GREENSTAR ni ya RIZ1, so naamin huyu ni gamba riz.
 
Mkuu amefiwa.. Pole zake.. Ila kama amefiwa na bibi yake then anachofanya ni ku-celebrate maisha ya bibi yake.. Maana ni kawaida kwa wajukuu kufurahia maisha ya grands wao wakati wa miciba.. Huzuni inaachwa kwa wafiwa ambao ni watoto wa marehemu na ndugu wengine.. So kama Mkuu Idimulwa ameamua kwenda bar then hajakosea..

Asante kwa kunisaidia mkuu...Karibu msibani tule nyama... Maana kama ilivyoada yetu wasukuma ng'ombe kwa ajili ya wajukuu kishaanguka tayari ukiachilia mbali yule wa wananzengo.
 
Siyo huko tu na iwe tz nzima ili ccm waamini wamedoda!

tatizo mambo mengi ya Arusha yana kuwa riported ndani ya muda mfupi sana lakini yanayoendelea nchi hii kuipinga CCM ni mengi mno kuna mtu alienda huko Tanga akawa amevaa skufu ya chadema alipata wakati mugumu sana kila alipo pita...chadema sasa ni tumaini la watanzania siyo tumaini la wana Arusha.....
 
Asante kwa kunisaidia mkuu...Karibu msibani tule nyama... Maana kama ilivyoada yetu wasukuma ng'ombe kwa ajili ya wajukuu kishaanguka tayari ukiachilia mbali yule wa wananzengo.
Pole sana mkuu, uko kijiji gani mkuu? watu wazima wakifa ni sherehe tu kama mtu alisha fikisha miaka 80++ hakuna haja ya kulia ni kula nyama kwa kwenda mbele.....
 
kwa mujibu wa radio sunrise FM
Vijana wilayani Monduli wamewafanya maandamano ya kumuunga mkono alie kuwa mwenyekiti wa UVCCM James Ole Millya
 
Back
Top Bottom