Kiroja cha Ngerengere

Aise kumbe hujui siasa zinaendaje yani lile tukio ni kwamba china inasapoti CCM NA ile ilikua kuwaonyesha wazungu wanao wasapoti chadema kua hii ngoma ya uchaguzi ni vita vya watu wawili mchina na mzungu
 
ENDELEENI kuipigia kura CCM,na bado amazings nyingi sana to come.
VIVA UKAWA.
Sioni tofauti ya lowasa na JK Ukiachilia mbali sintofahamu iliyopo, kwa maana ya uwezo wao wa kuongoza nchi kwa hiyo sizani kama kutakuwa na mabadiliko
 
How MuchU.S.Debt DoesChina Really Own?
Use
to navigate.

President Barack Obama shakes hands with Chinese President Hu Jintao.Photo Credit: Feng Li/Getty Images News/Getty Images
TheU.S.debt was more than$14.3 trillion during the so-calleddebt crisis of 2011, when the level of borrowing reached itsstatutory limit and the president warned of a potentialdefault if the cap wasn't raised.
See also:5 Presidents Who Raised theDebt Ceiling
So who owns all thatU.S.debt?
About 32 cents for every dollar ofU.S.debt, or $4.6 trillion, is owned by the federal government in trust funds, for Social Security and other programs such as retirement accounts, accordingto theU.S. Department of Treasury.
China andU.S.Debt
The largest portion ofU.S.debt, 68 cents for every dollar or about $10 trillion, is owned by individual investors, corporations, state and local governments and, yes, even
foreign governments
such asChina that holdTreasury bills, notes and bonds.
Foreign governments hold about 46 percent of allU.S.debt held by the public,more than $4.5 trillion
. The largest foreign holder ofU.S.debt isChina, which owns more about $1.2 trillion in bills, notes and bonds, accordingto the Treasury.
In total,China owns about 8 percent of publicly heldU.S.debt. Of all the holders ofU.S.debtChina is the third-largest, behind only the
Social Security Trust Fund's holdings of nearly $3 trillion and the
Federal Reserve's nearly $2 trillion holdings in Treasury investments, purchased as part of its
quantitative easing programto boost the economy.
 
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".

Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.

Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?

Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.

Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?

Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?

Kila siku tuna kitu kipya cha kulaumu.
Lakini Rev. hao waliozusha kifo cha CDF wanastahili adhabu kali sana.
Uzushi wa aina hii unaweza kuleta machafuko na mkorogano wa hali ya juu.
 
Aise kumbe hujui siasa zinaendaje yani lile tukio ni kwamba china inasapoti CCM NA ile ilikua kuwaonyesha wazungu wanao wasapoti chadema kua hii ngoma ya uchaguzi ni vita vya watu wawili mchina na mzungu

wacha kukurupuka !
 
Tatizo kubwa ni kutokuweza kupanga vipaumbele.Tunashangaa Jeshi (SUMA-JKT) linajivunia mradi wa kupasua mawe-kutengeneza kokoto, wakati walitakiwa wawe na miradi kama ya Ujenzi wa Kigamboni Bridge n.k?!
Kodi zenyewe tunashindwa kukusanya!(TZ $5Bn,Kenya $10Bn, in 2013. Source: The Economist,latest issue).
Pale tutakapokubali kuwa fikra zimefika mwisho hivyo tujali na wengine wanamchango gani basi hapo tunaweza toka.. vinginevyo tutaendelea ku-'mark time'..
 
Kwa jinsi ilivyo sasa utashangaa wachina watapigwa mweleka na marekani.....uwekezaji wao feki
 
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".

Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.

Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?

Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.

Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?

Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Ndugu kwahakika hatuna fedha hizo,wewe angalia tu Bajeti yetu ilivyotegemezi hata hivyo haitutoshi,je unafikiria tutapata wapi fedha hizo za ujenzi kwa mara moja bila kuathiri mipango yetu ambayo hata hivyo kuitekeleza ni chini ya 50%?Tutaendelea kukopa kwa njia ya misaada na kuongeza deni letu la taifa,sijui tutatoka lini kwani hali yetu inazidi kuwa duni kila kukicha.
 
Uzinduzi wa bandari Bagamoyo niliona viongozi watatu, Ustaadh mmoja, mchina na JK. Lakini kwenye magroup ya wahudhuriaji kulikuwa na kundi kubwa la watu ambao kama ni Watanzania basi sio wale waliotajwa kwenye ile rangi ya katikati katika bendera yetu alafu pembeni kulikuwa na lile kundi la wananchi wanoonyesha wazi uchovu wao!

Kwenye kufungua uwanja wa kidongo chekundu walikuwepo Symbion, Sunderland na JK huku wakisema hao wawili ndio wamejenga huo 'uwanja' na rais kaja kuzindua tu. Ukichukulia kuwa ule uwanja ulikuwa wa wazi tangu awali kwa hiyo kilichofanyika ni 'upgrade' tu, sioni kama kuna zaidi ya billion moja kuufanya vile!

Jana Ngerengere nikadhani labda wale wachina ni wakandarasi tu lakini wote wanaonekana wamevaa uniform za jeshi la china na wana vyeo. Nikashtuka kama kweli huu uwanja ni wa Watanzania au ni wa Wachina lakini wameamua kuujenga Tanzania kwa maslahi yao wanayoyajua!!

Kama kupandisha bendera 1961 bado kumetuletea haya tunayoyaona basi tujaribu kuwaingiza hao wanaosema wataweza ili kabla ya kufanya declaration ya kushindwa tuwe tumejiridhisha kwanza!
 
Educated Tanzanian are not only found OVERSEAS bro!!! we are here in Tanzania supporting UKAWA to take the power,you stay where you are with your fellow dreaming for god to do every thing for you.

Sasa educated people kama wewe ambaye unamshabikia mwizi tukueleweje? Huna upeo unafikiri hizo peremende kila Mtanzania atalambalamba, grow up. You can be educated but still your behaviour be like a slave, the education I meant is more than what you think.
 
Jaana baada ya Ngerengere CDF karudi ofisini na anaendelea na kazi.Je kuna uwongo/uvumi mwingine baada ya hiyo jana.kama upo fanyeni haraka kabla ya J2...hatutaki uvumi uwongi na tetesi baada ya j2.
 
Jaana baada ya Ngerengere CDF karudi ofisini na anaendelea na kazi.Je kuna uwongo/uvumi mwingine baada ya hiyo jana.kama upo fanyeni haraka kabla ya J2...hatutaki uvumi uwongi na tetesi baada ya j2.

Baada ya J2 ndio watafahamu nini maana ya Tanzania.
 
Only and only if you enjoyed the price of ESCROW and the related, you won't support CCM
Sasa educated people kama wewe ambaye unamshabikia mwizi tukueleweje? Huna upeo unafikiri hizo peremende kila Mtanzania atalambalamba, grow up. You can be educated but still your behaviour be like a slave, the education I meant is more than what you think.
 
151020170742_makaidi_640x360_bbc_nocredit.jpg

Aibu kwa anayejinadi awe rais wakati anasinzia hovyo​
 
china ni rafiki wa kweli.china ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi.mikopo ya china ina masharti nafuu kuliko nchi zilizoendelea.kuna ubaya gani kukopa kwa nchi rafiki ilioendelea kwa teknolojia ya hali ya juu.kama ndege mpya tumenunua toka kwao kwa nini wasitujengee uwanja

Hivi kwanini mnakuwa kama Kasuku?
 
Ndugu kwahakika hatuna fedha hizo,wewe angalia tu Bajeti yetu ilivyotegemezi hata hivyo haitutoshi,je unafikiria tutapata wapi fedha hizo za ujenzi kwa mara moja bila kuathiri mipango yetu ambayo hata hivyo kuitekeleza ni chini ya 50%?Tutaendelea kukopa kwa njia ya misaada na kuongeza deni letu la taifa,sijui tutatoka lini kwani hali yetu inazidi kuwa duni kila kukicha.

Unapokili kushindwa utashindwa kweli nahii ndio wameitumia CCM miaka yote waliyokuwa Madaarakani kila kitu kwao hakiwezekani.....Unapokuwa na kiongozi wa Nchi anaeamini ktk kuombaomba unategemea nini
 
Back
Top Bottom