Kipindi hiki wanaume mnapokea Simu na Msg za aina gani.?

"sweetheart jamani nimeisha wanunulia watoto nguo naomba unitumie pesa niwanunulie viatu......Love U"

yaani hii nimeipata jana
 
Mbona kimya dear xmas n mwaka mpya ndo hizo!!
Njoo leo nimekumiss dear,dogo leo hayupo!
mwaaaaaa,teddy
 
Kwa sisi wakimbiza mwenge huu ndio wakati wa kula kwa mkopo,ahadi kibao "mrembo usiwe na wasiwasi utapendeza mpaka mtaa mzima watakushangaa,nimekuagizia viwalo vya kisasa kuanzia juu mpaka chini,utamechisha kama nyumba za askali police"kumbe unatengeneza bom la machozi,kuja kushtuka ulisha kula mpaka ukagafua.
 
Kwa sisi wakimbiza mwenge huu ndio wakati wa kula kwa mkopo,ahadi kibao "mrembo usiwe na wasiwasi utapendeza mpaka mtaa mzima watakushangaa,nimekuagizia viwalo vya kisasa kuanzia juu mpaka chini,utamechisha kama nyumba za askali police"kumbe unatengeneza bom la machozi,kuja kushtuka ulisha kula mpaka ukagafua.

Hahaha,hilo nalo neno mkuu!
 
Honey kazini kwetu hawajaingiza salary na X.mass ndio hii,sijui wakoje...wananiboa kweli ,ur so swit my dear!
 
hallow mpenzi kiujumla sijambo ila nasumbuliwa sana na hali mbaya ya kifedha tuliyonayo hapa ofisini kwetu kiasi kwamba tunashindwa kumudu mahitaji yetu muhimu nimechoka kabisa nina usongo wa mawazo wewe sikupati ukanipa faraja
 
hii nimeipata mchana wa leo kutoka kwa x gf. ''swty siku hizi umeanza kuwa handsome! yaani nilivyokuona muda ule pale sijaamini kama ni ww. Uko wapi siku hizi ma luv?''
 
Jaman kipenzi changu,mbona umenisusa hvo mwenzio,miss u nd luv u deadly!!alice wa temeke
 
duh ishakuwa soo! Yaani naona na msg nilomtumia fulani hiv iko kwenye list! Kumbe naye ni memba wa hapa kudadadeki atanikoma just wait
 
"Dear Kodi ya pango inaisha tarehe 11-January 2012, na halafu mwenye nyumba ameongeza kodi.." I Love You..

"Baby Xmass itakuwaje? Nataka nikafanye shopping Mariedo, na pia nataka kwenda kusuka ILALA, naomba 500,000" XOXO

"
Mpenzi sasa "Kova" utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on New year Eve?" Missing You badly..

"Sweetie naomba uniongezee 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu kule Kantalamba.." Kiss & Hug...

"Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hizi kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love.."..Bye

"Sweetheart nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama 200,000 ukiweza pliz..." Chat later baby..

baba enock we ni kwikwi inakutokeaga nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom