Kipindi hiki wanaume mnapokea Simu na Msg za aina gani.?

wapo na wanaume wanaotutumia sms za kutupiga vibomu msimu huu looh wanaume wa sikuhiz
 
Jamani mi nimepata hii leo saa 11 jioni!

"Yaani d siku zinavyozidi kwenda ndo nazidi kukupenda sijui umenipa nini, kwani d unarudi lini nimeku-miss, kwani xmas utakuwa huko huko?"

Nikajibu:
Mbn mi naona kawaida tu, hakuna nilichokupa mchuchu! Xmas ntakuwa huku!

Akajibu:
My God..........

Nionavyo:
Atatuma invoice!
Naahidi kuiweka pending hadi next year! Na ikiwezekana ndo mwisho!!!
 
Dear si unajua unavyonilisha vizuri, huyu meya wa Daris-laam kanenepa! Kabati zote hazimtoshi ! Ninunulie makabati mapya!
 
"Dear Kodi ya pango inaisha tarehe 11-January 2012, na halafu mwenye nyumba ameongeza kodi.." I Love You..

"Baby Xmass itakuwaje? Nataka nikafanye shopping Mariedo, na pia nataka kwenda kusuka ILALA, naomba 500,000" XOXO

"
Mpenzi sasa "Kova" utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on New year Eve?" Missing You badly..

"Sweetie naomba uniongezee 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu kule Kantalamba.." Kiss & Hug...

"Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hizi kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love.."..Bye

"Sweetheart nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama 200,000 ukiweza pliz..." Chat later baby..

Kwa mtindo huu, hadi anakupigat mzinga wa namna hii, anajua uwezo wa kumtimizia unao...
 
Hii nimeisikia ya kizamani,Heti nimepeleka nguo yangu kwa fundi naomba sh 100,000. kuikomboa
 
' I miss you a lot' I real Love you. nina 3.5 M naomba 4.5 M tu nina tenda ya biashara halafu nitakurudishia na faida juu!!
 
Naomba uniambiye kabisa kama utanisaidia am la! Kuna jamaa ananitaka sana yuko tayari kunipa hata 15M ili mradi nimtimizie haja zake. Nami nina shida ila nakupenda sana siwezi kukuendea kinyume!! naomba mawazo yako!! Je wewe utajibu je. ( my response= aaa mbona rahisi sana! nenda kachukue hiyo 15 tena omba 20 tano zangu!!! hapo nitakupenda zaidi!! hehehehhe
 
Mie nilidhani kwa kipindi hiki cha mvua utaulizwa "UKO WAPI??" kumbe mnaombwa hela ya xmass jamani wee!!
 
Baby, mbona tangu nikuombe laki mbili za shopping ya sikukuu umekuwa kimya hivyo? Haya bwana...
 
"Dear Kodi ya pango inaisha tarehe 11-January 2012, na halafu mwenye nyumba ameongeza kodi.." I Love You..
"Baby Xmass itakuwaje? Nataka nikafanye shopping Mariedo, na pia nataka kwenda kusuka ILALA, naomba 500,000" XOXO
"
Mpenzi sasa "Kova" utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on New year Eve?" Missing You badly..
"Sweetie naomba uniongezee 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu kule Kantalamba.." Kiss & Hug...
"Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hizi kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love.."..Bye
"Sweetheart nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama 200,000 ukiweza pliz..." Chat later baby..
mwe mwe mweee
 
Hny nilitaka nikutoe mpwapwa skukuu uje ushangae magorofa dar ila kuna mafuriko, hapa naongea nipo juu ya bati. Baki huko huko mpwapwa na wagogo wako hadi hali itulie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom