Sasa hivi kinaendelea kipindi cha hoja yangu radio one stereo. Mada- KUBADILIKA BADILIKA KWA BEI ZA MAFUTA NCHINI, miongoni mwa wazungumzaji ni mwanaharakati Renatus Mkinga, watch out!
kawachana Ewura aibu tupu! Kawaambia serikali na Ewura wakapange bei kule kwenye visima vya mafuta na sio kutuchanganya mpaka watu wanaongea barabarani kama wanaimba chorus kumbe mafuta!
kasema viongozi wengi either wapo kwenye bodi au wanamiliki vituo vya mafuta,ndio maana wanayumbishwa na wauza mafuta,akasema kuna tatizo gani kwa serikali kuanza haraka kuagiza mafuta kwa bulk?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.