KIPINDI CHA HOJA YANGU Radio One

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,215
867
Sasa hivi kinaendelea kipindi cha hoja yangu radio one stereo. Mada- KUBADILIKA BADILIKA KWA BEI ZA MAFUTA NCHINI, miongoni mwa wazungumzaji ni mwanaharakati Renatus Mkinga, watch out!
 
Renatus Mkinga kiboko aisee! Kipindi kimeisha ila kavuta hisia za watu maana sehemu niliyokuwepo watu walikuwa kimyaaa wakisikiliza misumari!
 
kawachana Ewura aibu tupu! Kawaambia serikali na Ewura wakapange bei kule kwenye visima vya mafuta na sio kutuchanganya mpaka watu wanaongea barabarani kama wanaimba chorus kumbe mafuta!
 
kasema viongozi wengi either wapo kwenye bodi au wanamiliki vituo vya mafuta,ndio maana wanayumbishwa na wauza mafuta,akasema kuna tatizo gani kwa serikali kuanza haraka kuagiza mafuta kwa bulk?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom