Kwa wanasheria wa kazi: Je, Kanuni hii ni Sahihi?

Lamisa Danish

JF-Expert Member
Nov 17, 2019
285
626
Wakuu habarini?Naomba niende kwenye Hoja Moja kwa Moja!

Nina ndugu yangu amefanya KAZI kwa Mjerumani Mmoja akiwa kama Fundi Pump (Diesel Engines)kwa zaidi ya miaka 15 hivi,Akiwa na mkataba WA kudumu kwenye Ajira yake Sasa Mtoto wa Boss hamtaki kazini akitaka kumuondoa kwa kigezo Cha kupunguza Wafanyakazi sababu Kampuni haipati faida.

Sasa Kanuni inayotumika kumlipa mafao yake huyo ndugu yangu Ktk kipindi chote Cha utendaji KAZI wake ni hii.

BASIC SALARY÷26×7×10 +Basic Salary ×2

Yaani,
MSHAHARA gawanya kwa 26 UZIDISHE Mara 7 HALAFU Mara 10 HALAFU + MSHAHARA tena UZIDISHE Mara 2

Kama alikuwa anapokea Mshahara WA Tsh500,000/=

Inakuwa hivi 500,000÷26=19,230/=

19,230×7=134,610/=

134,610×10=1,346,100/=

1,346,100 + (500,000/=×2)

1,346,100+1,000,000=

TOTAL 2,346,1000/=

Je, kanuni hii ni Sahihi? Kama sio sahihi Kanuni IPI ni Sahihi yenye Faida zaidi kwa Mfanyakazi ambae ametumia muda wote huo kumtumikia Mwajiri wake?

Sheria za kazi pengine huenda n'a kubadilika kwa kufanyiwa marekebisho Je, Sheria iliyokuja n'a Kanuni hii ni ya mwaka gani?na haina maboresho?

Ni hayo tu.
 
Eti kumtumikia mwajiri wake, wewe ni taahira sio? Sema alikuwa anaitumikia familia yake, kwani huo mshahara walikuwa wanagawana na bosi wake? Mjinga kweli wewe.
 
Therefore in calculating severance pay you multiply seven days' salary by the number of years that an employee has rendered services to an employer with a maximum of 10 years......yuko sawa na hizo calculations
 
Kwakweli hata mimi nimemshangaa! Huwa anaongea nondo sana huyu blaza sijui amekumbwa na nini?! Labda kuna kitu amekasirika! Au mnajuana DM huko?
Hahahaha yéyé kama yéyé hajawahi Kuja Labda kama alitumia ID nyingine..Hiyo Heshma uliyonayo kwake na kwangu pia ni hivyo hivyo Siamini alichokiandika kunijibu hapo juu..ama kwakweli usimwamini MTU asilimia mia.
 
Amefanya kazi miaka mingapi ? Kuna formula ya retrenchment...ila sio kama hiyo.....(gross x12) minimum kwa sheria kazi....kuna formula ya redundancy
..
Amefanya KAZI zaidi ya miaka 15 Mkuu,Hiyo ya (Gross ×12) inaweza kuwa na nafuu kuliko Hiyo ya kugawanya kwa 26,Je Hiyo ya Gross ×12 ya mwaka gani?na Kuna tofauti gani kati ya Retrenchment na Redundancy,or kitu kimoja?
 
Inategemea na kampuni...mtu binafsi ayaenda sgeria aoate unafuu....calc aluotumia ndio sheria kazi imebainisha hivyo....plus ameongeza salary miezi 2 hapo......ila wemgine wanakupa gross x12 mnaachana.....
 
Wakuu habarini?Naomba niende kwenye Hoja Moja kwa Moja!

Nina ndugu yangu amefanya KAZI kwa Mjerumani Mmoja akiwa kama Fundi Pump (Diesel Engines)kwa zaidi ya miaka 15 hivi,Akiwa na mkataba WA kudumu kwenye Ajira yake Sasa Mtoto wa Boss hamtaki kazini akitaka kumuondoa kwa kigezo Cha kupunguza Wafanyakazi sababu Kampuni haipati faida.

Sasa Kanuni inayotumika kumlipa mafao yake huyo ndugu yangu Ktk kipindi chote Cha utendaji KAZI wake ni hii..

BASIC SALARY÷26×7×10 +Basic Salary ×2

Yaani,
MSHAHARA gawanya kwa 26 UZIDISHE Mara 7 HALAFU Mara 10 HALAFU + MSHAHARA tena UZIDISHE Mara 2

Kama alikuwa anapokea Mshahara WA Tsh500,000/=

Inakuwa hivi 500,000÷26=19,230/=

19,230×7=134,610/=

134,610×10=1,346,100/=

1,346,100 + (500,000/=×2)

1,346,100+1,000,000=

TOTAL 2,346,1000/=

JE, kanuni hii ni Sahihi? Kama sio sahihi Kanuni IPI ni Sahihi yenye Faida zaidi kwa Mfanyakazi ambae ametumia muda wote huo kumtumikia Mwajiri wake?

Sheria za kazi pengine huenda n'a kubadilika kwa kufanyiwa marekebisho Je Sheria iliyokuja n'a Kanuni hii ni ya mwaka gani?na haina maboresho?

Ni hayo tu
Tafuta forum ya sheria utapata ufafanuzi mkuu!
 
Back
Top Bottom