GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,116
Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa.
Kinachonishangaza hasa Mimi GENTAMYCINE ni kwamba huwa tukiwa nawe Vijiweni Wewe ndiyo unakuwa wa Kwanza kuisema Serikali na Viongozi wake ila ukiingia tu Studioni hapo ITV na Radio One (hasa katika Kipindi cha Malumbano ya Hoja) huwa unajifanya Kuitetea Serikali kwa Kuzuia Watu (Wachangiaji) wasiiseme.
Nina Taarifa za uhakika kuwa unafanya yote haya baada ya Rafiki yako Mmoja (Mwana Habari Mwandamizi) aliyeko kwenye Mamlaka (Serikali) kukuahidi kuwa kwakuwa yuko karibu na Mteuwaji Mkuu na anammudu basi atakupigia pande katika Teuzi zijazo nawe Uukate kwa Kuteuliwa katika Nyadhifa za Serikali kama alivyompambani mwana ITV na Radio One Mwenzako Abdallah Mwaipaya mpaka akateuliwa kuwa Mkuu wq Wilaya ya Mwanga (kwa Wabahili Original Afrika nzima) Wapare.
Maulid Kambaya badilika haraka Ok?