Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,209
- 42,071
Hivi we mama kwa hiyo unashauri waache ati kwa sababu mtu alisha kufa! Ni kesi ngapi zinaendelea wakati wahusika wamekufa? Jaribu kutumia huo ubongo vizuri!
Alaf tupe ushahidi kuwa wananchi walikuwa wakikabiliana na polisi hivyo ikawalazimu kutumia risasi za moto!
Ni vyema ukafatilia sakata hili vizuri na ukajua makubaliano ya polisi na cdm kisha ujue kilichojiri.
Acha kuongea kwa hisia
Eti nadhani walikaidi , hivi unajua maana ya nadhani?

Hayo maoni hayawezi kuondoa msingi wenyewe. Binafsi naamini kama CDM walikaidi amri ya Polisi ni dhahiri walijiandaa kukabiliana nao, hivyo ilikuwa ni lazima wajihami. Kinachinisikitisha ni risasi hizi kuwakuta watu wengine badala ya SLAA wenyewe au MBOWE. Kwa nini watangulishe vijana kama chambo? Nimesikia SLAA anasema wanasubiri ripoti ya Daktari ili wachukue hatua za kisheria. Ni hatua gani hizo zitakazolingana na uhai wa mtu uliopotea? Nilitumai, hatua hizo wangezichukua kuzuia kifo hicho badala kuchukua hatua baada ya mtu kufa, huku ni kutaka kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.