Polisi kushtakiwa ICC kwa kutumia nguvu kubwa kupita kiasi dhidi ya Waandamanaji

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Muungano wa Azimio La Umoja unakusanya ushahidi wa kuwasilisha katika kufungua kesi katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC), dhidi ya Polisi kutumia nguvu kupita kiasi katika kukabiliana na raia, wakati wa Maandamano ya kupinga kuongezeka kwa gharama za maisha nchini humo

Utumiaji wa nguvu kupita kiasi unatajwa kusababisha vifo na majeruhi kadhaa, hivyo Upinzani kutoa wito kwa Jumuiya za Kimataifa kutazama kwa makini matukio yanayoendelea nchini Kenya hasa namna ambavyo Polisi wanashughulika na waandamanaji wanaotimiza haki yao ya Kiraia ya kukusanyika kwa amani

Aidha, kesho Julai 25, 2023 viongozi wa Azimio watakutana kukagua ushahidi uliokusanywa hadi sasa kabla ya maandamano ya Jumatano, Julai 26, 2023


.........


Police brutality: Azimio collecting evidence to file case at ICC

The country’s law enforcement has been on the spotlight over their handling of protesters in the series of anti-government protests.

The use of excessive lethal force by the police has resulted in deaths and injuries and now the opposition says it is seeking to have the international community involved

“We are calling on the international community not to lose sight of what is happening in our land,” Wandayi said.

The opposition is turning its attention and plea for help to the United Nations. Azimio’s legal advisor Paul Mwangi says the opposition is inviting the United Nations special rapporteur on freedom of peaceful assembly and association, Clement Nyaletosti to take a keen look at the unfolding events in Kenya in regard to the handling of the protests and the violation of the citizens’s rights to peaceful assembly.

The opposition says it is also taking matters into its own hands by collecting evidence of police action against protesters right from the Saba Saba protests to last week’s three days of protests.

Azimio says this evidence will be crucial when it files a case against the government and the police at the International Criminal Court at The Hague.

The opposition further says it has already compiled a list of what it terms as persons of interest as it ramps up its own evidence gathering.

Azimio will also have a meeting on Tuesday to review the proof gathered so far ahead of Wednesday’s protests. This as leader of minority in the national assembly called for a halt to what he says is rampant police brutality in Luo Nyanza

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom