Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
Hey wakubwai, hivi karibuni nataka n'tiee maguu bongoland, sasa mimi nataka niwe mjasilia-hali-na mali,nataka nifungue kiota cha kuuza softwares za computers na zile za simu,yaani nitakuwa nafanya mwenyewe zile kazi za ku-install software, na kwa wale wanaoziitaji basi nitakuwa naziuza.
Ni latest software kama vile za OS (Operating System) ikiwa ni New Window 7, XP (sp1,sp2,sp3), na zile za linux (gnome na kde-environment), Mac na zile software za ofisini na kwenye ma-bussiness, hapa naunganisha na software za aina zote za ku-mix muziki na videoz, ku-design websites, photoshop (CS3 NA CS4), 3dMax, AutoCAD (from 2000 to 2010),
Kwa ufupi kila aina ya software mtu anayoitaka ataipata toka kwenye hicho kiota!!
Sasa nataka nijue upepo wa bongo kwenye biashara kama hizi upoje? Inalipa au bado tupo enzi zile za 47? Na vipi wale ''mafisadi'' hawawezi kunitia kwenye mkono wa sheria, manake mimi ni Pirate mkubwa sana Online na hapa ninazo software zaidi ya milioni 1..?
Najua hapa hakuna kinachoshindikana, hasa kwa wale waliokuwa nyumbani(tz)