Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Wote wanaosema jamaa alipora silaha em tupeni ushahidi, ina maana alipora bila kuwaua hao police aliowapora silaha.?
C alisema anawatafuta police sasa ilikuwaje apore silaha halafu awaache hao police aliowapora silaha.?
Jamaa alikuwa na silaha zaidi ya mbili, sasa police wa kwanza alivoporwa silaha huyo police mwingine akawa anaangalia tuu.?
 
Inakuwaje wanajamvi!

Bwana Yesu asifiwe na awabariki wote hadi mshangae!

Tukio la kuogopesha la kigaidi leo lililopelekea kupotea kwa maisha yasiyokuwa na hatia ni tukio la aina yake.

Nimechunguza ile Coaster Gaidi alisimama kando yake ilikuwa na picha ya Yesu nyuma.

Bwana ndie mchungaji wetu hatutapungukiwa na kitu. View attachment 1908233
Ww jamaa bhana em chunguza system yako wa akili kama ziko sawa
 
POLEENI SANA familia wa HAWA MAASAKARI

FB_IMG_16299300500081559.jpg
 
Ni tukio la kushangaza na lenye maswali mengi kwa sasa hivi hakuna ajuae Ukweli ngoja tusubiri taarifa ya jeshi la polisi.
Mpaka muda huu tayari ndugu wa Bwana Hamza wamechukulia wako polisi kwa mahojiano zaidi.
Lakini tujiulize
1. Hamza ni nani ?
2. Ni raia wa Nchi gani ?
3. Anafanya Kazi gani ?
4. Kama tukio hili tutaliweka kwenye kundi la Ugaidi tujiulize kwanini shumbulio lake liliwalenga Askari polisi pekee licha kuwa na nafasi ya kuwadhuru raia waliokuwepo karibu nae mfano kwenye Daladala.
4. Ukitazama vizuri baadhi ya video utaona jamaa alikuwa anashambulia na kukwepa (swali) mafunzo haya aliyapata wapi au tuseme ameiga kwenye Movie??
......................
Huo ni Upande mmoja wa maswali lakini Kuna upande mwingine umejaa tetesi kwamba huyu Bwana Hamza ana mgodi huku Chunya mkoani Mbeya ambao waliachiwa na Marehemu Baba yao. Tetesi hizi zinadai kwamba siku ya tukio Bwana Hamza alikuwa kwenye mipango ya kufanya Biashara ya Madini na suala hili Kuna maafisa wa jeshi la polisi walikuwa wanalijua sasa basi Kuna kitu cha ajabu Sana kikatokea na kukwamisha hiyo biashara. Ni kitu gani hicho ngoja kwanza jeshi la Polisi limalize Kazi yake May be litatueleza ukweli narudia tena May be.
**********
REJEA.
Nenda kwenye Post za Millard Ayo (Instagram) Kuna Dereva tax anaefanya shughuli zake karibu na nyumbani kwa Akina Hamza amekiri ni kweli Hamza na ndugu zake wengine waliachiwa Mgodi huku Chunya mkoani Mbeya na Marehemu Baba yao.

Lakini pia Kuna kipande cha ujumbe amekipost Le Mutuz nitakiweka hapa ili uunganishe matukio.

Swali la Mwisho. Hamza ni kichaa au ana tatizo la Akili ??
Siku chache zilizopita Kuna watu walikamatwa na Madini feki huko Dar es laam. Please hii nayo usiiweke mbali ukianza kuunganisha matukio

View attachment 1908534
Hata Kama alidhurumiwa kitendo cha kushambulia polisi na kubeba silaha ya kivita alijiweka kwenye nafasi ya kushambuliwa pia
 
NImeonaa JAMAA MMOJA KATOA.MAWAZO KAMA HAYA PIA AKASEMA KAMA SIO DHULUMA BASI NDUGU ZAKE WAMEMCHEZEA ILA.UKWELI UTAWEKWA HADHARANI??
WASOMALI HAWANA MAMBO YA KUCHEZEANA, KAWAIDA, KITU KAMA DUKANI KWAKE HAKUNA BASI ATAKUELEKEZA DUKA LA MWENZAKE AU ATAKWENDA KUKUCHUKULIA HASWA, NI WATU AMBAO WANAPENDA KUBEBANA SANA, SASA HAWA NDUGU HAWAWEZI KUMFANYIA NDUGU YAO HATA SIKU MOJA.
 
Oya wazee, em tumieni akili hata ndogo tuu. Video za mwanzoni ni ile yupo karibu na daladala na bajaji huku tayari akiwa na silaha akipiga juu sasa kama polisi walinyang'anywa silaha ilikuwaje mpaka yupo pale karibu na daladala hakuna polisi kuja kumshambulia mana alipora silaha.?
Inamaana alienda kupora silaha halafu akaondoka hilo eneo bila tatizo lolote mpaka kufika kule kwenye daladala.?
Zile silaha sijui alizipataje lkn kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusema polisi waliporwa silaha.
Vitu vingine ni kutumia akili za kuzaliwa tuu wazee

Acha ujuaji! Chunguza kwanza jambo kabla hujakosoa watu.

 
Mtego mbaya ni tukisema ni gaidi basi italazimisha tutaje anatokea kundi gani na pale tutakapolitaja tu hilo kundi basi ndio tutakuwa tumelikaribisha rasmi Tz kuja kulipa kisasi cha mwenzao.

Hili linaitaji tu 'play smart' sana sio dogo hata kidogo. Naamini vyombo vyetu vinalifahamu hili.
 
Mkuu umeupiga mwingi, kwa taarifa zinazotajwa mpaka sasa yule ni mshambulizi,

1. Hawezi kuwa jambazi kwa sababu mpaka sasa hatujaambiwa mali alizopora...
100% Mkuu, Masoud Masoud aliwahi kusema waanfishi habari wengi Bongo hawana ufahamu wa mambo. Leo nazidi kumuamini.

Yaani unamsikiliza mtangazaji redioni anakomalia JAMBAZI, JAMBAZI, JAMBAZI.
 
Kwa tukio lililotokea leo jijini Dar, tusahau kabisa kuona mzungu yeyote akitia mguu mahakama ya Kisutu au kupiga kelele juu ya kukamatwa kwa Mbowe. Kwa mara nyingine Kila mmoja ameona hatari kubwa inayoweza kuipata nchi kutokana na uhalifu uwe wa aina ya ujambazi au ugaidi. Mungu atuepushie mbali...
Huyo gaidi kavaa magwanda ya chadema.

IMG-20210826-WA0005.jpg
 
Ngojeni uchunguzi huru ufanyike. Kumbe aliyedhulumiwa ni baba yake? Msomali anapewa migodi Tanzania? Kwanini hakwenda kwenye vyombo vya dola au kuwashughulikia wabaya wa baba yake? Je huyo mlinzi aliyeuawa naye alikuwa na kosa gani? Ugaidi kwa tafsiri ya haraka ni kusababisha terror kwa wengine. Hivyo, alichofanya ni ugaidi na walichokuwa wamefanya polisi kama ni kweli ni dhuluma.
Mpigie Selemani 0715132277 atakupa ukweli wote yeye husindikizana na Hamza kwenye soko la madini
 
Jeshi la polisi wasibebane ktk hili inaonekana huyu Bwana kafanyiwa dhuluma na polisi ndio maana hakuwa na shida la Raia Bali polisi ili kulipiza kisasi. Ni polisi akina Nani hao wamemfanyia dhuruma? ...Ni muda Sasa Rais kumwondoa sirro na waandamizi wengine kulisafisha....Kama watu wanadhulumiwa na kuona solution Ni kupambana kwa risasi Basi tunajenga Taifa jipya kabisa.
 
Inasikitisha sana kwa askari kuporwa silaha ,askari inatakiwa ume active ,kama umeshika mtutu inatakiwa 20m mtu unammonitor anavyokuapproach,ukimuona haeleweki unamuamuru Hands Up akikaidi inapiga moja kwa hewa kisha ukimuona anataka kuchukua kitu mfukoni unawesha ya mguu kisha unamuattach fasta.

Polisi inabidi warudi mafunzoni,yaani jamaa anatamba dakika 30 nzima na askari wapo kibao wanaogopa,check baada ya jamaa kudongoka ndani ya dakika wakajitokeza askari kanzu wenye mitutu na wa mavazi kama 50 hivi,yaani inashangaza walikuwa kibao lakini walikuwa wanamuogopa jamaa mmoja tu.
 
Back
Top Bottom