Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

Kuna mzungu ambaye alimfundisha Rashid kazi kisha akamzika pesa zake na kumfukuza wakiwemo wakenya wawili na baadhi wa Watanzania ambao ndiyo wametoa Siri zote.
Safi Sana Kama mbwai mbwai ukimwaga mboga napindua ugali aliyeuza cheni bandia naye kapokea hela bandia hapo ngoma droo.
 
Rashid alipiga pesa sana Kipindi cha Utawala wa Kikwete na alikuwa na dharau sana ilifika mahala akawa anatukana kila mtu fukuza fukuza ya wafanyakazi ndiyo imemletea haya maafa yote.

Kwa kweli Kikwete hastahili kuonekana hadharani huyu mtu, he is the most useless man I have ever seen in my life. Muda umefika kufuta majina ya viwanja na shule zote zilizo na jina la Kikwete, this man did not do anything good for Tanzania just like Mwinyi, Mkapa before him. Hawa marais hawastahili kupewa heshima yeyote ndani ya nchi yetu, ni majambazi na wanyanyasaji wa hali ya juu.
 
Wateja wa mahakama ya mafisadi wameanza kujulikana mmoja mmoja. Wale wa kusingiziwa wako pembeni tuu wanajifua tayari kushika dola 2020 bila gogoro.

Nimekupata vema mkuu....Kikwete alihofia Lowassa kuchukua dola chini ya CCM kwani walimsingizia na alikuwa anakuja na agenda ya kuwalipua hadharani baada ya kumsingizia. Magufuli inabidi afanye ya ukweli kuwakamata hawa watu pamoja na Kikwete na mwanae (Ridhiwani) ili kuleta heshima ndani ya chama na kuonyesha dunia kuwa Afrika can be trusted with liable leaders. Tumechoka kuonekana wajinga kila kukicha.
 
Kwa kweli Kikwete hastahili kuonekana hadharani huyu mtu, he is the most useless man I have ever seen in my life. Muda umefika kufuta majina ya viwanja na shule zote zilizo na jina la Kikwete, this man did not do anything good for Tanzania just like Mwinyi, Mkapa before him. Hawa marais hawastahili kupewa heshima yeyote ndani ya nchi yetu, ni majambazi na wanyanyasaji wa hali ya juu.
Viongo zi wa ccm hawafai kabisa
 
Back
Top Bottom