Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

Wakati mwingine ni vyema kujiridhisha na taarifa yeyote kabla ya kuanza kuchafua watu na kuwahusisha na yale ambayo tunafahamu kuwa yatachafua image yao kwenye jamii na kuonyesha kuwa ni watu wa hovyo na wasiofaa kwenye jamii.

Six Telecom haikuwahi kuwa na sio Kampuni inayomilikiwa na Mzee Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi na wala hana share wala hausiki kwa lolote katika uendeshaji wake.

Ni vyema wakati mwingine mkajiridhisha na jambo kabla ya kuropoka
Mkuu naona unatokwa na povu kali, hawa vijana wamefanya moyo wako uchafukwe kweli kweli.... Waambie walete vithibitisho
 
H
Hili liko wazi baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja ambao ni Mzee Kinana na Peter Noni.

Fuatilieni brela na TCRA and connect the dots..
huko kwa sasa wameficha File lote huwezi kupata kitu wala kupewa ushirikiano wowote ule, Mmiliki mkubwa mwenye shea nyingi ni Wakili Tenga wa BOT na Mwanae yupo pamoja na Rashid kwenye biashara lakini yeye hajakamatwa kajificha sasa yupo chimbo busy akibuni mbinu za kuua hilo janga, wapo wengi wenye shea za kawaida humo mmoja wapo ni Ruge wa clouds na P funk majani na hawa ndiyo wana haha usiku na mchana kuhakikisha kuwa majanga yanamalizwa kwa kasi ya ajabu ambayo itawashangaza wananchi.
 
Kwa kweli Kikwete hastahili kuonekana hadharani huyu mtu, he is the most useless man I have ever seen in my life. Muda umefika kufuta majina ya viwanja na shule zote zilizo na jina la Kikwete, this man did not do anything good for Tanzania just like Mwinyi, Mkapa before him. Hawa marais hawastahili kupewa heshima yeyote ndani ya nchi yetu, ni majambazi na wanyanyasaji wa hali ya juu.

Mkuu katika miaka 10 yapo mazuri mengi alioyafanya,na yapo aliovurunda,lakini kwa undani wa jambo,Raisi Kikwete aliwapa uhuru wa kufanya kazi bila kusukumwa sukumwa akiamini kuwa watu watatumia ujuzi wao kwa manufaa ya umma,kumbe sisi wananchi tunatakiwa kusukumwa tena kwa bakora.Tujipime kwanza sisi utendaji wetu kama umetukuka,tuna matatizo ya kukiuka maadili ya kazi,na mara nyingi baadhi ya watendaji wakuu hugeuka vinyonga ni dalili ya unafiki mamboleo.
 
Rashid alipiga pesa sana Kipindi cha Utawala wa Kikwete na alikuwa na dharau sana ilifika mahala akawa anatukana kila mtu fukuza fukuza ya wafanyakazi ndiyo imemletea haya maafa yote.
Duuh inaonekana una nyeti kuhusu hili mkuu
 
Kwa kweli Kikwete hastahili kuonekana hadharani huyu mtu, he is the most useless man I have ever seen in my life. Muda umefika kufuta majina ya viwanja na shule zote zilizo na jina la Kikwete, this man did not do anything good for Tanzania just like Mwinyi, Mkapa before him. Hawa marais hawastahili kupewa heshima yeyote ndani ya nchi yetu, ni majambazi na wanyanyasaji wa hali ya juu.
Kweli weww ni Jamaa_Mbishi.
Hii kauli ya watu hawakifanya chochote imemuumbua Sumaye juzi tu hapa jukwaani.
 
Dah! tanzania the country of comedians!,this is another comedy in magufuli's regime
 
M

mzee hakamatiki kila kona yupo ama kweli pesa huwa hazijai hata ujaze vipi pesa haijai milele.
Dahaaa hii thuluma. Thulmat hataree jamaa anatwang kotekote. Na zile za uchaguzi alizitia kibindoni akasababisha mkwa ya ile kamat ya ushindi ikasambaratika.
 
U

ukiona hivyo ujue hapo pia kuna Tatizo na huo ni Uzembe mkubwa na huenda watuhumiwa wakatumia huo upenyo kushinda kesi.
Serikal huwa ina rekod za kushindwa kesi miaka yoooote,huwa inafungua kes for formality tu
 
Nan kajificha Tenga au mwanae
Mwanae Tenga ndiyo kajificha kwa sababu ndiye hufanya kazi na Rashid mda wote, sasa yupo busy mafichoni na mawakili wanabuni mbinu ya kugeuza kesi ili iwe kesi ya kawaida imalizike mapema washinde wakipwe fidia.
 
Hata
Serikal huwa ina rekod za kushindwa kesi miaka yoooote,huwa inafungua kes for formality tu
hata hii watashindwa itakuwa kama ile meli ya samaki, tayari kuna wajanja wapo kazini wanatengeza jinsi ya kuigeuzia kibao Serikali.
 
M
Duuh inaonekana una nyeti kuhusu hili mkuu
mtafute yule msanii wa bongo flava Spwaa ni mmoja kati ya waathirika wa Ubabe na dharau za Rashid Shamte kwani alifukuzwa kazi kwa kupigwa vibao Bar coco beach akanyang'anywa laptop pale pale na kuporwa fungua za nyumba ambayo alipangiwa na Ofisi ya Rashid, hakika kuna maovu mengi kawatendea wafanyakazi kwa kiburi cha pesa.
 
Hakuna kitu hapo kesi itageuzwa geuzwa kijanja janja utashangaa mambo yanaisha Kiimya kimya.

Nilisiia Mashtaka ya Uhujumu Uchumi, Nijuavyo mimi hayo hayana dhamana na ni ngumu kuyageuza geuza hayo, na likifanyika hilo hii itakuwa Aibu kwa Magufuli.
 
M

mtafute yule msanii wa bongo flava Spwaa ni mmoja kati ya waathirika wa Ubabe na dharau za Rashid Shamte kwani alifukuzwa kazi kwa kupigwa vibao Bar coco beach akanyang'anywa laptop pale pale na kuporwa fungua za nyumba ambayo alipangiwa na Ofisi ya Rashid, hakika kuna maovu mengi kawatendea wafanyakazi kwa kiburi cha pesa.

Kama ni kweli nauwezo wa kumpiga MAKOFI HUYU JAMAA, basi huyu RASHIDI ni MTU mkubwa sanaa sanaa sanaa sanaaaaaaaaa!
 
Kinana anamiliki na ndiye chairman wa kampuni W... ambapo kabla ya sasa ilikuwa na ofisi zake hapa Posta mpya jengo la Baclays baadae wakahamia Masaki...
 
Back
Top Bottom