Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

Kinana ndio Board Chairman wa WIA na shareholder mkubwa wako 2nd floor Barclays House, same applies to Six telecoms wako pamoja na Peter N oni ambaye ni mkurugenzi mkuu TIB na ndie aliyekuwa BOT na yale matatizo ya EPA kabla hajateuliwa . PUSH Mobile anae i run ni mtoto wa Tenga sio wa TFF wako fifth floor....FYI push mobile waliomba hilo swala pia ZAIN lakini ZAIN waliwagomea cause hawataki mambo ya siasa though mwanzoni walikubali wakkaanza ona backlash inakuwa kubwa kutoka customers especially international org ambazo hazitaki kupata sms kuhusu mambo ya siasa..Nahabarisha tu

NASUBIRI KISIKIA WAMELIPA HIYO 8Bil.
Otherewise wakaombe msamaha.
 
hili liko wazi...baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja..ni Mzee Kinana na Peter Noni....fuatilieni brela na TCRA....and connect the dots..
Ni kweli lakini mwenye Shea kubwa ni Wakili Tenga wa BOT wapo wengi wanaotafuna pesa kupitia hiyo kampuni hata Ruge na P funky wote ni wanufaika wa huo mchongo wakiwemo akina January Makamba.
 
Marafiki wa Kikwete wote ni majambazi, hvi kwa nini?
Rashid alipiga pesa sana Kipindi cha Utawala wa Kikwete na alikuwa na dharau sana ilifika mahala akawa anatukana kila mtu fukuza fukuza ya wafanyakazi ndiyo imemletea haya maafa yote.
 
Rashid sasa hivi ataachiwa na mtashangaa Nchi hii kuna vioja na kesi watashinda zote na mitambo yao itawashwa yote.
 
Yawe
hili liko wazi...baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja..ni Mzee Kinana na Peter Noni....fuatilieni brela na TCRA....and connect the dots..
Yawezekana kabisa kati ya Internet washitakiwa kuna mwenye asili ya somali.Ndiyo maana MD alikua na confidence ya hali ya juu
 
Rashid alipiga pesa sana Kipindi cha Utawala wa Kikwete na alikuwa na dharau sana ilifika mahala akawa anatukana kila mtu fukuza fukuza ya wafanyakazi ndiyo imemletea haya maafa yote.
Bwana weeeee acha tu hasa 2010
 
Kinana ndio Board Chairman wa WIA na shareholder mkubwa wako 2nd floor Barclays House, same applies to Six telecoms wako pamoja na Peter N oni ambaye ni mkurugenzi mkuu TIB na ndie aliyekuwa BOT na yale matatizo ya EPA kabla hajateuliwa . PUSH Mobile anae i run ni mtoto wa Tenga sio wa TFF wako fifth floor....FYI push mobile waliomba hilo swala pia ZAIN lakini ZAIN waliwagomea cause hawataki mambo ya siasa though mwanzoni walikubali wakkaanza ona backlash inakuwa kubwa kutoka customers especially international org ambazo hazitaki kupata sms kuhusu mambo ya siasa..Nahabarisha tu
Tenga ana shea kubwa kuliko wote na mwanae ndiyo hufanya kazi na Rashid na sasa yupo mafichoni kajificha asikamatwe.
 
Usalama wa taifa waongeze ufanisi wa kazi hasa ktk kudhibiti haya majambasi yanayo filisiwa.muda huu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom