Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,905
- 38,560
Hapa Rais hatuna......
Hiyo 28k unaona ndio ilikua price halisi?Kwamba nondo ilikuwa inauzw elfu 28 tukawa tunafichwa?
Kwamba bidhaa zilipanda sana bei tukawa tunafichwa?
Hivi mnafikiri kila mtu ni mjinga na haoni kinachoemdelea?
Umemjibu vizuri sana huyo kenge anatetea ujinga wakati watanzania tunaumia. alisoma topic moja ya demand and supply basi anakuja kutusumbua nayo hiyohiyo.Mfumuko wa bei unasababishwa na serikali iliyopo ama kutatuliwa na serikali iliyopo.
Magufuli ,if any , "alisababisha uchumi kusinyaa" nasiyo inflation yani mfumko wa bei.
Mfumuko wa bei unasababishwa hasa na vitu hivi:
1. Serikali kushindwa ku control na ku regulate soko na ndiyo maana serikali ina regulatory authorities kila sehemu.
2. Production cost imeongozeka sana hadi kumfikia mlaji na msababishaji hapa ni serikali pia, mfano wameongeza kodi, wameongeza tozo, umeme unakatokakatika, ulipaji wa wafanyakazi mshahara umeongezeka nk.
3. Demand imekuwa kubwa kuliko production hii ndo huamualiwa na soko huria.
Ila ukiangalia kwa Tanzania inflation ni sababu ya namba moja na mbili. Serikali legelege isiyojali.
Nini serikali inachoweza kufanya na ku control inflation.
1. Serikali ina subsidies ktk imported goods ambazo ni basics kama mbolea na mafuta na gas nk.
2. Serikali inapunguza ama kufuta kabisa kodi na tozo zinazosababisha artificial inflation.
3. Serikali kuhakikisha umeme haukatiki ili kupunguza productions cost.
Zingine utaongezea.
SERIKALI chini CHIFU HAGAYA itaudhibiti huo MFUMUKONdugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu
Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi
Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan ni kama hatuna viongoz yan ni kama nchi inajiendesha yenyewe.....Rais yupo,wazir mkuu yupo,mawazir wapo lkn masikin ya Mungu hakuna hata mmoja mmoja anaeumia na kuumizwa kwa wananchi hawa watz ndio kwanza kila mtu yuko bize kuangalia anavunaje sehem aliyopo.
Hali hio sasa imetoka kwenye chakula imeenda had kwenye mawasiliano ya simu yan saiz wanajibadilishia tu vifurushi kila wanapojisikia. yaani kwa kweli hali ni mbaya sn tena sn na masikin ya Mungu watz hawa hatujui hata haki zetu tunasubir wakina CHADEMA au NCCR ndio watusemee bila wao kufanya hivo kila mtu yuko kimya hadi vile vyama vyetu vya kiraia ambavyo sijui viko wapi siku hizi.
Hebu imagine unakwenda sokon lkn unakuta kila mtu anauza vitu kwa bei yake na wala hata hawana wasiwas wao wanasema wanafidia kipind kigum cha mwendazake.
Hiv kweli Tanzania tumefikia huku kweli jaman,mbona inasikitisha sn jaman. Huyu mwananchi wa kawaida kabisa anaishije kwa hali hii?
Nadhan sasa umefika wakati wa wanachi wa Tanzania kuleta umoja wetu na kureact bila kujali utofaut wa vyama vyetu,dini zetu wala ukanda wetu na kuacha kutegema vyama vya siasa kutusemea katika matatizo yetu.
Serikal imeshindwa mapema sn katika hili la mfumuko wa bei hivo ni wakati wetu sisi wananchi kuondoa tofauti na kuwa kitu kimoja katika hali hii mbaya kabisa katika ustawi wa taifa na maendeleo ya wananchi
Naomba kuwasilisha
Wewe ni mpumbavu kama mwendazake alikuwa anataka wakina bakhresa wafilisike hasingempa fursa ya kujenga kiwanda cha sukari bagamoyo ,muda mwingine ficha ujinga na upumbavu wako.Wafanya biashara wa kubwa kama bhakresa au GSM, sio lahisi kufrisika, ni gharama kubwa kwa wao kufunga kuliko ku operate kwa minimum loss,.......tena serikali inakusanya direct na indirect taxes nyingi kwao watu kuliko mtumishi anae lipwa 800,000 paye yake ni 14% baada ya kukata basic ya 300k.......ila huyu GSM analipa excise duty property tax income tax Paye tena bidhaa zake zinalipishwa Vat wafanya kazi wake wote wanakatwa Paye gari zake zinalipiwa ushuru na kodi za mafuta. Muekezaji moja kama Bakhresa ni zaidi ya watanzania 1m wakawaida, tungekua na Bakhresa kama 100, nchi yetu ingekua katika kiwango kingine, sasa mwendazake alikua anapambana nao ili wafirisike uko anakopa kimya kimya ndo maana tuko kwenye hi economic stack.
Tunaongelea mfumoko wa bei za bidhaa muhimu!Hiyo 28k unaona ndio ilikua price halisi?
Umezungumzia nondo tu vipi kuhusu watu waliokuwa wakiporwa pesa zao ndani ya account na TRA wakituambia makusanyo yameongezeka?
Wale waliokwapuliwa pesa Bureau de Change je?
Hujazungumzia VFR ya 6% kwa wahitimu wa HESLB .
Pesa za mifuko ya jamii zilichukuliwa kwenda kwenye miradi isiyo na tija sababu ya sifa za mtawala.
Mwisho nikuambia inflation hua nyingi ikiwemo kutokuwepo urari wa demand & supply.
Purchasing power ya Tanzania iko chini ajabu mkaamini nchi iko uchumi wa kati huku watu hata mlo wengine ni shughuli.
Ngano tulinunua 1200 leo ni 1900 anakuja mjinga mmoja anasema eti ukame ndo umsababisha bei kupanda.Hiyo 28k unaona ndio ilikua price halisi?
Umezungumzia nondo tu vipi kuhusu watu waliokuwa wakiporwa pesa zao ndani ya account na TRA wakituambia makusanyo yameongezeka?
Wale waliokwapuliwa pesa Bureau de Change je?
Hujazungumzia VFR ya 6% kwa wahitimu wa HESLB .
Pesa za mifuko ya jamii zilichukuliwa kwenda kwenye miradi isiyo na tija sababu ya sifa za mtawala.
Mwisho nikuambia inflation hua nyingi ikiwemo kutokuwepo urari wa demand & supply.
Purchasing power ya Tanzania iko chini ajabu mkaamini nchi iko uchumi wa kati huku watu hata mlo wengine ni shughuli.
Wakati úchaguzi ulipoibiwa tuliufyata vipi sasa ujasiri tunaupata wapiNdugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu
Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi
Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan ni kama hatuna viongoz yan ni kama nchi inajiendesha yenyewe.....Rais yupo,wazir mkuu yupo,mawazir wapo lkn masikin ya Mungu hakuna hata mmoja mmoja anaeumia na kuumizwa kwa wananchi hawa watz ndio kwanza kila mtu yuko bize kuangalia anavunaje sehem aliyopo.
Hali hio sasa imetoka kwenye chakula imeenda had kwenye mawasiliano ya simu yan saiz wanajibadilishia tu vifurushi kila wanapojisikia. yaani kwa kweli hali ni mbaya sn tena sn na masikin ya Mungu watz hawa hatujui hata haki zetu tunasubir wakina CHADEMA au NCCR ndio watusemee bila wao kufanya hivo kila mtu yuko kimya hadi vile vyama vyetu vya kiraia ambavyo sijui viko wapi siku hizi.
Hebu imagine unakwenda sokon lkn unakuta kila mtu anauza vitu kwa bei yake na wala hata hawana wasiwas wao wanasema wanafidia kipind kigum cha mwendazake.
Hiv kweli Tanzania tumefikia huku kweli jaman,mbona inasikitisha sn jaman. Huyu mwananchi wa kawaida kabisa anaishije kwa hali hii?
Nadhan sasa umefika wakati wa wanachi wa Tanzania kuleta umoja wetu na kureact bila kujali utofaut wa vyama vyetu,dini zetu wala ukanda wetu na kuacha kutegema vyama vya siasa kutusemea katika matatizo yetu.
Serikal imeshindwa mapema sn katika hili la mfumuko wa bei hivo ni wakati wetu sisi wananchi kuondoa tofauti na kuwa kitu kimoja katika hali hii mbaya kabisa katika ustawi wa taifa na maendeleo ya wananchi
Naomba kuwasilisha
Divisio 4?Mtu mwenyewe elimu yake ni ya kuunga unga, hiyo nchi ataiweza wapi?
Ila Serikali hiyo hiyo ambayo haihusikia na vitu kupanda bei, huwa inajitapa kila mara kuwa ime keep mfumuko wa bei chini..Yaani vikipanda isilaumiwe, ila vikipanda ichukue credit?Katika uchumi bei ya vitu inakua determine na forces of demand and supply, sio serikali au wafanya biashara bei zikipanda jua tu uzalishaji wa vitu umeshuka au idadi ya watumiaji imeogezeka, Raisi ambaye amekaa miazi 9 madarakani hasihusishe na bei ya vitu kwasasa, mwendazake ndo alievuruga sector binafsi na kutimua wawekezaji binfsi. Tutakuja kupata unafu baada ya miaka kama 3. Ndotutaanza kumlaumu Raisi sio kwa kwasasa
Serikali ni ile ile waulizeni TRA waliosema ipo akiba ya kulisha nchi miezi 6 bila kufanya kazi aliyokua akisema Jiwe.Tunaongelea mfumoko wa bei za bidhaa muhimu!
Kwa hiyo hayo ndio yalikuwa yanasababisha bei za vitu isipande?
Nondo ilikuwa inauzwa elfu 19 leo ni elfu 28, twambie ni kitu gani kimetokea?
Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu
Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi
Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan ni kama hatuna viongoz yan ni kama nchi inajiendesha yenyewe.....Rais yupo,wazir mkuu yupo,mawazir wapo lkn masikin ya Mungu hakuna hata mmoja mmoja anaeumia na kuumizwa kwa wananchi hawa watz ndio kwanza kila mtu yuko bize kuangalia anavunaje sehem aliyopo.
Hali hio sasa imetoka kwenye chakula imeenda had kwenye mawasiliano ya simu yan saiz wanajibadilishia tu vifurushi kila wanapojisikia. yaani kwa kweli hali ni mbaya sn tena sn na masikin ya Mungu watz hawa hatujui hata haki zetu tunasubir wakina CHADEMA au NCCR ndio watusemee bila wao kufanya hivo kila mtu yuko kimya hadi vile vyama vyetu vya kiraia ambavyo sijui viko wapi siku hizi.
Hebu imagine unakwenda sokon lkn unakuta kila mtu anauza vitu kwa bei yake na wala hata hawana wasiwas wao wanasema wanafidia kipind kigum cha mwendazake.
Hiv kweli Tanzania tumefikia huku kweli jaman,mbona inasikitisha sn jaman. Huyu mwananchi wa kawaida kabisa anaishije kwa hali hii?
Nadhan sasa umefika wakati wa wanachi wa Tanzania kuleta umoja wetu na kureact bila kujali utofaut wa vyama vyetu,dini zetu wala ukanda wetu na kuacha kutegema vyama vya siasa kutusemea katika matatizo yetu.
Serikal imeshindwa mapema sn katika hili la mfumuko wa bei hivo ni wakati wetu sisi wananchi kuondoa tofauti na kuwa kitu kimoja katika hali hii mbaya kabisa katika ustawi wa taifa na maendeleo ya wananchi
Naomba kuwasilisha
AiseeMtwara kilo ya nyama 12,000 kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV jana usiku!
DuuhMtwara kilo ya nyama 12,000 kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV jana usiku!
Hatar sn aiseeeMtwara kilo ya nyama 12,000 kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV jana usiku!
Mtwara kilo ya nyama 12,000 kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV jana usiku!
Mmmmh sidhan aiseeeKatika uchumi bei ya vitu inakua determine na forces of demand and supply, sio serikali au wafanya biashara bei zikipanda jua tu uzalishaji wa vitu umeshuka au idadi ya watumiaji imeogezeka, Raisi ambaye amekaa miazi 9 madarakani hasihusishe na bei ya vitu kwasasa, mwendazake ndo alievuruga sector binafsi na kutimua wawekezaji binfsi. Tutakuja kupata unafu baada ya miaka kama 3. Ndotutaanza kumlaumu Raisi sio kwa kwasasa
Kaz tunayo aisee mwaka huuNdugu Field Marshal Tantawi, kwa tathmini ndogo niliyo ifanya mara baada ya kutembelea mikoa ya Kusini mwa Tanzania mwishoni mwa mwezi Disemba nauona huo ni mwanzo wa mfumuko. Bado nafaka na mazao ya chakula nayo yatapanda tu, Tanzania uzalishaji ni mdogo huu mwaka. na nashukuru mama ameanza liona hilo ndio mana Jana aliwasihi Kilimanjaro waanze hifadhi chakula hali sio nzuri huko mbele.