Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Haya mapombe mamushka we acha tu. Nisingestukiwa kama si mama mmoja alikuja kuungama akanikuta nakoroma ndani. Imagine niko darasa la nne nikakata karibu nusu chupa ya damu ya Yesu!
Hv wewe humuogopi Mungu?
 
Aliona atoe photocopy mapemaa, kwani orijinal hakuwa na uhakika wa kudumu nayo. POLE SANA,KAZI KULEA SI KUTOTOA.
 
Inaelekea humu ndani watu wengi hatujui kupenda na wala hatujawahi kupenda ila tunaigiza tu kupenda...Binti kampenda jamaa,jamaa katoa nje kiaina,binti kajilengesha,mnamlaumu,daa..Jamani acheni,kupenda sio mchezo unaweza kufanya lolote..Tuulizeni wenzenu tuliopenda halafu tunaowapenda wanatuletea longo longo..Ni full kuringa,inauma!
 
Kama mtu hakupendi sasa utafanyaje...ndio hayo ya baade kumlaumu maana atakubali ila deep down anajua hana lolote nawe. Duuh, nashukuru sina ugonjwa huo unaoitwa kupenda kupindukia maana unaweza kufa na presha bureeee
 
Uzuri wa wanaume ni kwamba hawajui kupenda, wao wanachojua ni kutaka tu basi!.
 
pole sana kwa huyo dada, lakini angetakiwa asubiri mpaka huyo b/f wake mwenyewe aseme, na the worse part ndo kaenda mpaka kubeba mimba mbona hivi lakini?
 
Uzuri wa wanaume ni kwamba hawajui kupenda, wao wanachojua ni kutaka tu basi!.

Very good!
Ikishajulikana ndio hivi... itabidi kujizuia usipende asiyejua kupendwa..utaishia kujuta.
MPENDE AKUPENDAYE..ASIYEKUPENDA UNATAKIWA UACHANE NAYE NA SIYO KUTAFUTA YA ZAIDI KAMA KUMZALIA!
 
tatizo ni kwamba unampata mtu unampenda na yeye hakupendi anasema sio type yake na kule ambako ndo type yake anafungiwa vioo kabisa na kutendwa juu dah Mungu bana.
 
Kama mtu hakupendi sasa utafanyaje...ndio hayo ya baade kumlaumu maana atakubali ila deep down anajua hana lolote nawe. Duuh, nashukuru sina ugonjwa huo unaoitwa kupenda kupindukia maana unaweza kufa na presha bureeee

Pia nadhani huyu dada alifanya maamuzi ya haraka ..kwani aliambiwa asubiri muda muafaka ukifika lakini hakufanya hivyo akaamua kuchukua maamuzi kutoka kichwani mwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom