Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

MRI

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
304
388
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.

Swala la kutafuta mchumba au mume siyo tatizo kabisa lakini siyo hoja yangu. Pointi yangu ni madhara na matokeo ya kuzaa katika umri mkubwa hasa kwa mara ya kwanza.Kitabibu kuna madhara na matokeo hasi kuzaa katika umri huo mkubwa.Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na;

1.Uwezekano (Chance) ya kupata ujauzito kuanza kupungua
2. Na hata ukipata ujauzito katika umri huo uwezekano wa kujifungua kwa upusuaji ni asilimia 70
3.Uwezekano wa kupata mtoto mwenye matatizo (Embryological anomalies) kuwa mkubwa.
4.Uwezekano kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo kiakili.

Nina elewa wengi husema wanasubiri wakati sahihi wa MUNGU, ni kweli sipingi hili lakini ni MUNGU aliyetupatia maarifa na hekima tutumie kufikia mafanikio.Ni rahisi sana mdada wa kasikazini kumkuta na miaka 35 na anakimbizana na pesa mjini na akifikia miaka 38 anawaza kupata mume tena mwneye pesa.

My take: Inawezekana sana miaka 10 ijayo kaskazini ikakosa vipanga wa darasani.Inawezekana kabisa kuzalisha vilaza ambao kutokana na pesa watasoma shule nzuri na ufaulu wa kusukuma lakini siyo smart.
 
Kati ya wadada wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi kuzaa.
Bado hamjatosheka kuwasema wanawake wa kaskazini?
 
Kuna bidada yupo around 35 yrs (hatuna mahusiano) ni marafiki tu kimtindo,alioniomba tuzae matunzo yote juu yake, nikatoa nje, haukupita muda nikamuona ana kitumbo huku akininyari😃😃..nikajua kuna mtu huko ashapachikwa zigo.
 
Back
Top Bottom