Kimenuka UDSM, wanafunzi wanaandamana; FFU wako tayari....

Mara ya kwanza tulipogoma, waliongeza pesa ikawa 7500, mara ya pili tumegoma wakaongeza mkopo kwa watu 104 wa mwaka wa kwanza. Juzi tumegoma, then wametuwekea boom, hivi hii serikali inataka nini? Inafikiri sisi tunaona raha kugoma tu? Mbona inatupelekesha? Huu ni upuuzi.

kweli we mwaka wa kwanza!. Hata sensa za migomo chuoni hauna.
 
haya wenzenu mliokua mnadai haki zao wamefukuzwa kabisa..ehe niambieni mmefanikisha lipi zaid ya kuingziwa bum?
 
watoto wa siku hizi wanakosa subira wanadhani labda zamani wa2 walisoma kwa raha sana sasa watakiona kilicho mnyonyoa kanga manyoya hovyo sana
 
Back
Top Bottom