Kimenuka UDSM, wanafunzi wanaandamana; FFU wako tayari....

LODEBA

New Member
Nov 26, 2011
4
0
HALI NI MBAYA UDSM WANAFUNZI WANAANDAMANA WAKIPIGA KELELE HUKU FFU WAKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAO,............WANADAI WENZAO WAACHIWE HURU,....DAAAAAAAH NGOJA 2CHECK ':shock:
 
Mnatakiwa muwatowe roho hao polisisiemu kama wawili tu ndipo mzee wa mjengoni ataamka,bado kalala hajui kinachojiri kwa wapigakura wake.
 
HALI NI MBAYA UDSM WANAFUNZI WANAANDAMANA WAKIPIGA KELELE HUKU FFU WAKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAO,............WANADAI WENZAO WAACHIWE HURU,....DAAAAAAAH NGOJA 2CHECK ':shock:

... Update KIDOGO .. Hao walioshikiliwa ni wapi ? Lini Walishikiliwa? Tatizo lilikuwa nini? Status yao huko waliko?
 
Kwa nn ffu wasivunje mkono mwanafuzi kwa risasi ya moto waone kama kuna mwendawazimu ataendelea kuandamana
 
This time kama hawajajiandaa kufanya mtiti wa kisawasawa nitawadharau sana! huwezi kukurupuka kaandamana! maandamano ni vurugu ya kuharibu mali kuuwa au kuuwawa! basiiiiiiiiiiiii! hii ndo tafsiri ya maaandamano ! Eti kusema ya amani mmmh! ng'weee ipi amani tuliyonayo araaaa!
 
HALI NI MBAYA UDSM WANAFUNZI WANAANDAMANA WAKIPIGA KELELE HUKU FFU WAKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAO,............WANADAI WENZAO WAACHIWE HURU,....DAAAAAAAH NGOJA 2CHECK ':shock:

Waoga wakubwahao watakimbia tu. Hakuna jipya hapo.
 
Watoto wa siku hizi kusoma hawataki kazi kudai hela tu hakika mbeleni tutakuwa na taifa hovyo kabisa polisi hebu fanyeni kazi yenu......watazoea
 
Watoto wa siku hizi kusoma hawataki kazi kudai hela tu hakika mbeleni tutakuwa na taifa hovyo kabisa polisi hebu fanyeni kazi yenu......watazoea

Najua hujasoma sana sana utakuwa umeishia la saba,ndio maana huelewi kitu.
 
no changes without struggling, hivyo wanachofanya wanachuo ni sahihi katika kudai haki zao, maandamano si kuvunja sheria bali ni moja ya njia ya kudai haki. ni vyema utawala ukawapa nafasi wanachuo kuandamana ili ujumbe wao uwafikie wananchi wanaoitwa wakulima ( lakini sina uhakika kama ni wakulima au wakulimwa?
 
Tatizo lao kubwa hawajipangi kama wasomi. wanakurupuka tu.
inabidi kuaandaa huo mgomo sio kukurupuka tu.
 
kama watanzania tunabidi tujifunze kuhusu maandamano yaliyotokea duniani na yanayoendelea kutokea duniani, tunasema dunia hii ni ya utandawazi yaani kijiji kimoja so kinachofanyika nchi nyingine kinaweza kutokea hata tanzania, amani ni nini? amani ni kuanzia kwa mtu binafsi, kwenye taasisi hadi ngazi ya taifa, hao FFU wanachofanya kwa wanafunzi si uvunjifu wa amani? kwani wanawanyima wanachuo uhuru wa kutoa maoni yao kuhusu mienendo ya kiutawala. siku moja tutakuja kujuta pale watu watakapoamua kusonga mbele. ushauri serikali ikae na wanachuo watafute njia ya kuelewana na kutambua matatizo ya msingi ya wanachuo. leo hii mtanzania ambaye atakuwa kiongozi anabebwa kwenye gari la polisi kama mzoga, hii ndo amani tunayojivunia Tz? siridhishwi na mipango ya TZ kuhusu Elimu kwa Ujumla
 
Tatizo lao kubwa hawajipangi kama wasomi. wanakurupuka tu.
inabidi kuaandaa huo mgomo sio kukurupuka tu.
Waombe madesa kutoka kwa machinga wa mbeya wajisomee namna ya kukabiliana na polisisiem kwa siku kadhaa. Sio kuandamana halafu vijana wa mwema wanawatawanya ndani ya dk 10. Ujinga ni wakati wa kwenda, saizi ni kurudi lazima muonyeshe kuwa elimu imewasaidia kujua pabaya na pazuri kukabiliana na hao njagu
 
HALI NI MBAYA UDSM WANAFUNZI WANAANDAMANA WAKIPIGA KELELE HUKU FFU WAKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAO,............WANADAI WENZAO WAACHIWE HURU,....DAAAAAAAH NGOJA 2CHECK ':shock:

Hao FFU hawajaenda kwenye msiba wa mwenzao aliyejitwanga risasi jana kisa maisha magumu?? Any way udsm komaeni mie nachukua flight sasa hivi toka mwanza kuja kuungana nanyie, leo lazima tuuwe ffu japo watatu hivi.
 
aluta continua shikamaneni wenzenu wapate haki yao ya kusoma.msitishwe na mkandala hata yeye anajua serikali ndo mchawi wa elimu yetu
 
Back
Top Bottom