Kimenuka UDSM, wanafunzi wanaandamana; FFU wako tayari....

Mara ya kwanza tulipogoma, waliongeza pesa ikawa 7500, mara ya pili tumegoma wakaongeza mkopo kwa watu 104 wa mwaka wa kwanza. Juzi tumegoma, then wametuwekea boom, hivi hii serikali inataka nini? Inafikiri sisi tunaona raha kugoma tu? Mbona inatupelekesha? Huu ni upuuzi.
 
Hawa watoto wa karne hii ni janga la kitaifa. Kila siku wanaandama, ili kukwepa masomo.
 
nyie polisi wachapeni sana hawo watoto iliwakome kuandamana tena

muanze kwa kuwachapa lisaasi za miguu, kisha muwachape za kiuno, mukiona wanazidi kuja munawachapa lisasi za kifua kisha kama hawarudi nyuma basi mnamalizia kazi kwa risasi za kichwa. mumeniskia...??

haya wote mguuu sawa, kwa kwenda kuchapa risasi wanafunzi wa usdm mbeleeeeeeeeeeeeeee tembea, shoti kilia shoti kulia......!!
 
Nilishasema, kugoma nusu nusu mnatusababishia hasara sisi walipa kodi. Nakatwa mshahara wangu karibu misharaha ya walimu 3 kwa mwezi, na hiyo pesa ndo mnayoipigania. Sasa mnapofanya mchezo wa kugoma nusu nusu inakula kwenu, inakula kwetu na mnalitia hasara taifa letu.
Kama mnmeamua kudai haki, kaeni chini orodheni madai yenu yote yakiwemo ya watu mnaowapiga mizinga mitaani mkiishiwa kama katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, mfumko wa bei nk. Hilo ndo litakuwa vugu vugu la kweli kuleta mabadiriko nchini. Vinginevyo mnatusumbua sana mnapofanya vitu kama hivyo wakati mnayo nafasi ya kusikika mara moja mkiamua kufanya kweli.
 
ona hili nalo halijui hata kuandika,mngese mkubwa wewe...
 
Jamani asimia kubwa wanaongoza migomo ni waporipori lakini wajanja wachache wanajua madhara yake....nchi hii kila idara ina matatizo...kinacho pwaswa ni mapinduzi ya serikali tu.
 
nyie polisi wachapeni sana hawo watoto iliwakome kuandamana tena

muanze kwa kuwachapa lisaasi za miguu, kisha muwachape za kiuno, mukiona wanazidi kuja munawachapa lisasi za kifua kisha kama hawarudi nyuma basi mnamalizia kazi kwa risasi za kichwa. mumeniskia...??

haya wote mguuu sawa, kwa kwenda kuchapa risasi wanafunzi wa usdm mbeleeeeeeeeeeeeeee tembea, shoti kilia shoti kulia......!!

Kiswahili nacho changamoto hapo...
 
Nilishasema, kugoma nusu nusu mnatusababishia hasara sisi walipa kodi. Nakatwa mshahara wangu karibu misharaha ya walimu 3 kwa mwezi, na hiyo pesa ndo mnayoipigania. Sasa mnapofanya mchezo wa kugoma nusu nusu inakula kwenu, inakula kwetu na mnalitia hasara taifa letu.
Kama mnmeamua kudai haki, kaeni chini orodheni madai yenu yote yakiwemo ya watu mnaowapiga mizinga mitaani mkiishiwa kama katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, mfumko wa bei nk. Hilo ndo litakuwa vugu vugu la kweli kuleta mabadiriko nchini. Vinginevyo mnatusumbua sana mnapofanya vitu kama hivyo wakati mnayo nafasi ya kusikika mara moja mkiamua kufanya kweli.

tatizo ni kuwa, tuki-solve matatizo, yanaendelea kuibuka matatizo mengine. SIO KWAMBA TUNAPENDA KUGOMA, ILA INATULAZIMU. Hii serikali sijui ipoje.
 
nyie polisi wachapeni sana hawo watoto iliwakome kuandamana tena

muanze kwa kuwachapa lisaasi za miguu, kisha muwachape za kiuno, mukiona wanazidi kuja munawachapa lisasi za kifua kisha kama hawarudi nyuma basi mnamalizia kazi kwa risasi za kichwa. mumeniskia...??

haya wote mguuu sawa, kwa kwenda kuchapa risasi wanafunzi wa usdm mbeleeeeeeeeeeeeeee tembea, shoti kilia shoti kulia......!!

wewe una akili kwenye makalio. Mjinga wewe, unafikiri tunapenda kugoma? Kwani na sisi hatutaki kusoma? Tutasomaje wakati haki zetu tunanyimwa? Pimbi wewe.
 
Mnaudhi sana wanachuo maana haingii akilini kila siku maandamano yenu yanaishia hukohuko chuoni na ni ya dakika 5 kisha mnasambaa kama watoto wa primary school,hebu tujiulize kwani usomi wenu uko wapi kama mnafikia hatua ya kushindwa na hao polisisiemu?hivi kuna kitivo gani ambacho hakipo hapo mlimani?maana nijuavyo mimi hakuna madaktari tu lakini vingine vya muhimu ambavyo mkivitumia ili kushindana na hao njagu lazima nyinyi mshinde,lakini kila siku hao polisisiemu mnawapa ushindi,mimi mnaniudhi kuandamana bila kujipanga,maana hao polisisiemu na CCM na serikali yao msipokomaa ninyi wanachuo basi ujue hakuna kitu,jiulizeni kwanini wamachinga walishinda vita ile na ikabidi kuita JKT NA JW? leo nyie wasomi mnashindwa nini?jipangeni bwana mtu potezee kama njagu 7 hivi na kusimamisha kabisa shughuli za jiji labda wataacha kuwadharau,maana leo hakuna anaewasikiliza kwa kuwa watoto wao wanakula za ufisadi.Jipangeni vizuri
 
Kwa nn ffu wasivunje mkono mwanafuzi kwa risasi ya moto waone kama kuna mwendawazimu ataendelea kuandamana

Wewe ni mwendawazimu mjalaana mkubwa watoto wa maskini wanashindwa kusoma we fisadi unasema wavunjwe mkono huna adabu kabisa kwakuwa umesoma bure unaona wengine wasisome
 
Hawa watoto wa karne hii ni janga la kitaifa. Kila siku wanaandama, ili kukwepa masomo.

Janga la kitaifa ni watu kama nyie mliojaa tope kichwani mnatusumbua sana ktk kudai haki za wanyonge
 
Jamani asimia kubwa wanaongoza migomo ni waporipori lakini wajanja wachache wanajua madhara yake....nchi hii kila idara ina matatizo...kinacho pwaswa ni mapinduzi ya serikali tu.

ponte notadio!
Umesema cha maana sana leo... Like ever seen!
 
Back
Top Bottom