Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
- Thread starter
- #101
Ratiba ni kwamba jana na leo Kamati ya Maadili inakaa na jana ndio iliwaita vijana kadhaa wa UVCCM na wote ni wale wa upande wa Lowassa, kesho ni Kamati Kuu kabla ya NEC, Jumanne na Jumatano.Hahahaa you make a good point, ingawa to me i can smell some undertones of sarcasm. Wapambanaji wa ufisadi CHADEMA wampokee S.I Unit(I like this) ya ufisadi!!!... But under the sun never say never.
By the way, sijui mkuu una ratiba ya series za vikao vya MAGAMBA vinavyoanza this weekend. Naomba nijue NEC
yenyewe wanakaa lini?