Wakuu sijawapata kidogo! Hii ya kutoka ni ile ya jana au leo tena wametoka?
Njia ipi?hivi cdm wanaona hiyo ndiyo njia pekee????, wakati umefika wa kutazama upya namna ya kukabiliana na hoja unapoona kuna tatizo
hivi cdm wanaona hiyo ndiyo njia pekee????, wakati umefika wa kutazama upya namna ya kukabiliana na hoja unapoona kuna tatizo
Wametoka tena leo na Spika kasema wanaenda kunywa Chai..kwa hisia Zangu speaker anaanza kulegea kwa kuelewa umuhimu wao na ndiyo maana amenywea kwenye kusema na kutetea wanaenda kunywa Chai...patamu kweli..na ninadhani hili la Chadema ni muhimu lipewe nafasi kubwa kufikirika
hivi cdm wanaona hiyo ndiyo njia pekee????, wakati umefika wa kutazama upya namna ya kukabiliana na hoja unapoona kuna tatizo
hata hicho wanachofanya ni namna nyingine ya kuwatetea na kuwawakilisha watu wao maana yake sasa hivi umati wote wawaliowawakilisha nao wangekuwa wamelisusia bunge hivyo usifikiri hakuna wanachokifanya kumbuka sio wendawazimu hadi wakaamua kutoka hata ungekuwa wewe ungefanya moja kati ya wanayoyafanya utajisikiaje unapotaka haki yako na kunyimwa live na kusemwa vibaya watu waliomba miongoza wangesikilizwa ndio spika aikatae sasa kuwanyima kuwasikiliza ni ubabe au WOGA.Sasa waliomba kura za wananchi kwenda kuwaakilisha bungeni kufanya nini? kila siku wapo kwenye maandamano, mara jela na kugomea vikao vya bunge. Chadema wanajiharibia wenyewe, wangechukua muda huu ambao CCM wapo weak kujidhatiti kwa 2015.