TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.
Bado umekomaa? Think big! Kumbuka uwekezaji, hawa watoto hawajachakachuliwa kisiasa hivyo navyo unataka uingizwe darasani?Huo ni umbumbu na ufinyu wa kufikiri.