Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Mapovu yanini kaka? siuache ukweli usimame wenyewe?CDM hovyo kabisa mpenda kweli kusifiwa!!Pale mnapochemsha lazima tuseme.
Mapovu yanini kaka? siuache ukweli usimame wenyewe?CDM hovyo kabisa mpenda kweli kusifiwa!!Pale mnapochemsha lazima tuseme.
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM.Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza,mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya Cdm.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Kitu kidogo Nape kawatuma!!pale CDM wanapochemsha lazima tuseme.
Mkuu, atazipata wapi? yeye binafsi hakuhudhuria mikutano hiyo, ni uongo na ushabiki wa kijinga ndio vilivyomfanya alete uzi wa kitoto hivi.Mkubwa, na wewe siungeweka picha ili tuone?
CDM ni wachemfu sana, hilo mie nalijua tangia long time. Ila wachache wasio jua na ambao hufuata mkumbo kibubusa ndio waliobakia huko. Ngoja uone watakavyo kuja juu muda si mrefu
Vizuri sana mkubwa.Kama zipo zingine tupia mkuu.
Watakuja muda si mrefu na siasa zao za taarabu.
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya CDM.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Ngoja nikusaidie picha za watoto....
Ngoja nikusaidie picha za watoto....